Sasa ili kumkomesha yafaa mgomo uendelee na usiishie hapo, uende mpk kwenye uchaguzi mkuu. Bungeni pia wabunge wa upinzani washinikize kupatikana kwa tume huruSidhani kama JPM anaweza kukubali kuka meza moja na wapinzani, nimjehuri sana anae jamini kufanya chochota anacho taka, diplomancy kwake nimsamiati
Kauli zako hizi zinapingana na tamko la waziri Jaffo, ambaye anaonekana ameufyata vibaya mno. Na jiwe yupo ikulu anatetemeka. Endelea kumpoza jiwe kwa kauli zako hizi za kimbeaHakuna kukaa mezani na genge la wahuni aka wakora,uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa,
Tunasubiri tamko la mabwana zenu (white people) waliowashikia akili
Wakifanya hivi itakuwa poa sana, maana JPM alikuwa ashaifanya hii nchi kuwa mali yake.Watakaa mezani na masharti kibao,utaona!
Huyu Baba is shameless ataendelea na mambo yake paka raia ndawaumie wenyeweSasa ili kumkomesha yafaa mgomo uendelee na usiishie hapo, uende mpk kwenye uchaguzi mkuu. Bungeni pia wabunge wa upinzani washinikize kupatikana kwa tume huru
Bora hao mabeberu kuliko wewe mkoloni mweusi unaroho mbaya kumzidi hata kaburu, unawezaje kununua ndege huku kina mama wanajifungulia chini, watoto wadogo kabisa masikini ya Mungu wanasoma wamekaa kwenye mawe..kama kuna moto mtachomwa laana wakubwa nyie..Hakuna kukaa mezani na genge la wahuni aka wakora,uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa,
Tunasubiri tamko la mabwana zenu (white people) waliowashikia akili
hii poa tu, yaani kuanzia sasa naunga mkono uchapakazi wa Magufuri, kwani lazima tupite kwenye moto ili kuelekea kupata katiba iliyo bora hapo baadae. Nina uhakika baada ya muda hivi tukisema sasa tutunge katiba MPYA WATU AKILI ZITAKUWA ZIMEWAKAA SAWA. SIO KAMA ILIVYOTOKEA WAKATI JK alivyoitisha bunge la katiba wajumbe wakawa wanacheza mayenu-yetu. JPM piga kazi baba, kazia hapo hapo yaani HAPA KAZI TU, tulio wengi tujifunzeSidhani kama JPM anaweza kukubali kuka meza moja na wapinzani, nimjehuri sana anae jamini kufanya chochota anacho taka, diplomancy kwake nimsamiati
Bora hao mabeberu kuliko wewe mkoloni mweusi unaroho mbaya kumzidi hata kaburu, unawezaje kununua ndege huku kina mama wanajifungulia chini, watoto wadogo kabisa masikini ya Mungu wanasoma wamekaa kwenye mawe..kama kuna moto mtachomwa laana wakubwa nyie..
Kauli zako hizi zinapingana na tamko la waziri Jaffo, ambaye anaonekana ameufyata vibaya mno. Na jiwe yupo ikulu anatetemeka. Endelea kumpoza jiwe kwa kauli zako hizi za kimbea
Wakifanya hivi itakuwa poa sana, maana JPM alikuwa ashaifanya hii nchi kuwa mali yake.