Wapinzani msikubali kurejea kwenye uchaguzi mpaka CCM wakubali mkae mezani


SOMA HII UCHEKE*

Jana Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Stop Over wa Chadema bi. Magreth Mugyabhuso alihojiwa na vyombo vya habari alisema haya;

Anamshukuru Mh.Mbowe kwa Maamuzi magumu aliyoyachukua ya wagombea wote wa Chadema kuachana na zoezi hilo la uchaguzi wa serikali za mitaa maana kwa asilimia kubwa limeambatana na mambo ya kihuni.....

Bi Magreth alisema .. "Binafsi nilichukua fomu kwa wakati na kurudisha kwa wakati,bahati nzuri nilitoa copy kabla ya kurudisha ile orginal, kitu nilichokikuta baada ya kupewa majina ya walio enguliwa nikauliza sababu , nikapewa fomu nione sababu za kuenguliwa kwagu ,nilistuka kuona fomu yangu imebadilishwa si ile niliokuwa nayo copy...ya kwao inajieleza mimi nilijaza jinsia yangu ni kiume hali mimi najitambua,upande wa unagombea nafasi gani, ? nimekuta imeandikwa naogombea mwenyekiti serikali ya mtaa na mjumbe pia, kitu ambacho ni Uhuni kabisa,ofisi nyeti kama hii ya serikali haipaswi kucheza na documents za watu kihuni namna hii".

Huyu Bi.Magreth ni Mwenyekiti eneo hilo tangu mwaka 2015 mpaka leo, asijue kujaza fomu wala yy ni jinsia gani? Asijue yy anagombea nafasi gani?
CCM mkiamua kukesha na ngoma za watoto mjisitiri nguo....

Lakini pamoja na figisu hizi za aibu, Bi. Magreth aliandika barua za pingamizi na alipofikisha ofisini hapo zilitupiliwa mbali.....
Juzi baada ya Chadema kujitoa , jina likabandikwa ukutani "eti #Mpya. Magreth *AMETEULIWA*

Nilicheka sana, nikajisemea CCM Mwl. wao ni amekufa.....!

Nimeona afadhali kuendelee kufanya mambo mengine kuliko haya ya siasa za kihuni"

Kuna usemi unasema, *"ukisikia Mfalme anatembea na kijakazi , siku ya aibu inakaribia."*
 
Ukifuatilia hayo maelezo ndiyo utagundua kuwa matokeo ya ule utafiti wa TWAWEZA kuwa CCM imejaza wajinga, yanaonesha uhalisia. Hila inayofanywa na mtu mwenye akili ni tofauti na inayofanywa na mtu mjinga.

Unajiuliza, hivi kuna mtu anaweza kushindwa kujua jinsia yake? Lakini kwa hawa wajinga, wanaona inawezekana.
 
Hakuna kukaa mezani na genge la wahuni aka wakora,uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa,
Tunasubiri tamko la mabwana zenu (white people) waliowashikia akili
Kwa akili zako ndogo zilizojaa uchafu unafikiria hakuna madhara kwa hatua hii ya kipumbavu waliyokurupuka nayo.

Kwa taharifa yako muulize jafo kwa nini awakuendelea na mchakato wao wa kishetani hao mabwana zao weupe ndio mabwana zenu pia wanaowapa maisha na ndio haohao jafo na bosi wake wana waogopa.

Tulieni hivo hivo sindano iwaingie wanaizaya wakubwa nyie si mlisema upinzani umekufa sasa ndio mtajuwa kuwa upinzani una nguvu,pumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…