Uchaguzi 2020 Wapinzani msimuamini sana Membe kwa yoyote atakayosema na kuyatenda kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu baadae mwaka huu

Subiri apeleke cheki kwa mwenyekiti kama watajali huu upuuzi wako uliouandika!
 
Nyie humu mnapiga kelele tu, alichukuliwa Lowassa kitu ambacho hakuna aliyefikiri kama ingewezekana na mwisho mkaishia kushangilia tu.

Hata Membe anaweza kwenda upinzani na akapewa nafasi hakuna linaloshindikana na nyie mtabaki kushangilia tu kama kawaida.
 
Membe ni CCM

PERIOD.
 
YEYOTE ANAYEIBOMOA CCM TUNAUNGANANAE
 
ANAYEIBOMOA CCM TUNAUNGANANAYE
 
Uko sahihi
 
nimeipenda hii "malipo ni baada ya kazi"
 

waendelee kuamini tu kama walivyomwamini Mzee wa Mabadiliko
 
Hama kbs na ufie huko huko..shenz kbs
Mkuu Kwenye matusi ndo huwa nashindwa kufurahishwa ,mbona Mimi sijakutukana mkuu? Unakwama wapi ndugu yangu kujadili bila kutukana mtu? Huwa sikatai kupingwa ila kumpinga mtu kwa kumshambulia kwa matusi huwa nasikitika sana

Mkuu jifunze kukosoa mawazo ya watu bila kutoa lugha zisizostaha,unadhani ukinitukana ndo utakuwa umebadili uhalisia?

Mbona Mimi nakuheshimu sana ,sasa wewe mbona kunikosea heshima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry Kama unadhani nimekutusi mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…