Uchaguzi 2020 Wapinzani msimuamini sana Membe kwa yoyote atakayosema na kuyatenda kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu baadae mwaka huu

Naunga mkono hoja.
 
Hii ni moja ya 'myths' zisizokuwa na maana yoyote.

Imebaki watu wanaaminishwa mambo yasiyokuwepo. Ni moja ya upotoshaji unaotumiwa na CCM kujilinda.
 
Wanaweza kabisa kumuacha aongee au atende atakavyo ili muamini kweli ni mwenzenu kumbe wana agenda zao, hivyo wapinzani wafanye kazi ya ziada kujua ukweli kuhusu Membe na misimamo yake kabla ya kumuamini kwa asilimia 100.

Mkuu hamna cha kufanya kazi ya ziada wala nini, simply hafai kuwa mgombea wa upinzani, labda kwa nafasi ya udiwani.
 
Ujumbe huu umfikie Omwami Ruyagwa anaye hitaji kumpatia nafasi
 
Sawa.

Kama "Membe ni CCM" aliyetayari kusaidia kuiondoa CCM iliyopo, shida ipo wapi hapo!
Kumbe somo la Lowassa,Sumaye&Co. halikutuingia vizuri?

Upuuzi ule wa 2015 ukirudiwa tena Chadema kinaenda kua 'kichwa cha mwendawazimu' milele.
 
Nilikuwa nazungumzia ile nafasi ya juu kabisa, kupeperusha bendera ya upinzani; hizo teuzi nyingine hakuna tatizo.
 
Akili imeanza kuwaingia...
 
Sasa tusipomchukua Membe, yule jamaa wa MIGA atarudi kweli?
au itabidi agombee kwa whatsap?
 
Hivi kama Nyerere alikuwa msafi kiasi hicho, kwa nini aliandika katiba inayomlinda dhidi ya mashtaka kwa aliyoyafanya akiwa madarakani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…