Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu unashindwa hata la kuwajibu[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Jr[emoji769]
Naunga mkono hoja.Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na rushwa,kujilimbikizia mali na vitendo vingine ambavyo ni kinyume na sheria za nchi.
Binafsi naamini Nyerer tu ndie aliekuwa na sifa hii na ndio maana aliweza kuwakosoa watawala bila hofu ya kuumbuliwa au kufanyiwa mizengwe ila kwa waliobaki, sijui kama yuko mwenye sifa ya aina hii au walau ya kufanana na sifa alizokuwa nazo Baba wa Taifa.
Kwa msingi huu,kama Membe ni mmojawapo ya watu wenye sifa kama za Mwalimu Nyerere,basi mnaweza kumuamini, vinginevyo, kuweni makini nae sana na mjiulize sana ujasiri huu anaouonyesha ni wa kweli au kuna kilicho nyuma yake kabla ya kufikiria kumpa nafasi yoyote katika vyama vyenu na hasa ya kuwa mgombea katika uchaguzi wa baadae mwaka huu iwapo ataonyesha ni ya kutaka kuhamia katika vyama vyenu.
Sometimes in life, it worth to be curious when others are satisfied,and to be dissatisfied, when other are curios.
Hii ni moja ya 'myths' zisizokuwa na maana yoyote.One of the biggest problem ya Membe ni kwamba huyu ni TISS na kwa nchi yetu hii huwezi kamwe kuitenga TISS na CCM...
Lingine ni kwamba TISS ni kazi ya kudumu hasa kwa level ya Membe... Anaweza kuwa nawe kwa muda tuu lakini mambo yakienda mrama si mwenzako tena.. Atarudi kwenye asili yake
Zaidi Membe yuko kisiasa zaidi kuliko kiutendaji.. Anaongea sana na ni mwepesi wa kufunguka huku akiwa hawezi kuficha hisia zake... Hawezi kabisa kubaki kwenye neutral point ili kuficha misimamo yake kwenye baadhi ya mambo
Jr[emoji769]
Sawa.Membe ni CCM
PERIOD.
Wanaweza kabisa kumuacha aongee au atende atakavyo ili muamini kweli ni mwenzenu kumbe wana agenda zao, hivyo wapinzani wafanye kazi ya ziada kujua ukweli kuhusu Membe na misimamo yake kabla ya kumuamini kwa asilimia 100.
Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na rushwa,kujilimbikizia mali na vitendo vingine ambavyo ni kinyume na sheria za nchi.
Binafsi naamini Nyerer tu ndie aliekuwa na sifa hii na ndio maana aliweza kuwakosoa watawala bila hofu ya kuumbuliwa au kufanyiwa mizengwe ila kwa waliobaki, sijui kama yuko mwenye sifa ya aina hii au walau ya kufanana na sifa alizokuwa nazo Baba wa Taifa.
Kwa msingi huu,kama Membe ni mmojawapo ya watu wenye sifa kama za Mwalimu Nyerere,basi mnaweza kumuamini, vinginevyo, kuweni makini nae sana na mjiulize sana ujasiri huu anaouonyesha ni wa kweli au kuna kilicho nyuma yake kabla ya kufikiria kumpa nafasi yoyote katika vyama vyenu na hasa ya kuwa mgombea katika uchaguzi wa baadae mwaka huu iwapo ataonyesha ni ya kutaka kuhamia katika vyama vyenu.
Sometimes in life, it worth to be curious when others are satisfied,and to be dissatisfied, when other are curios.
Best in what? Am suprisedSimuoni kama ana nafasi mbele ya Lissu, Lissu is the best.
Asante sana mkuu kwa kuliona hili.Mkuu hamna cha kufanya kazi ya ziada wala nini, simply hafai kuwa mgombea wa upinzani, labda kwa nafasi ya udiwani.
Kumbe somo la Lowassa,Sumaye&Co. halikutuingia vizuri?Sawa.
Kama "Membe ni CCM" aliyetayari kusaidia kuiondoa CCM iliyopo, shida ipo wapi hapo!
Nilikuwa nazungumzia ile nafasi ya juu kabisa, kupeperusha bendera ya upinzani; hizo teuzi nyingine hakuna tatizo.Mkuu 'denoo J', Membe anao msaada sana CHADEMA wakimtaka, na nawashawishi wamtake.
Kwani Lissu hawezi hata kumteua awe waziri baada ya kazi kubwa atakayokuwa ameifanya kwenye kampeni?
CHADEMA wakati huu ni wa kuwakaribisha kwa wingi, wote walioko ndani ya CCM wakiwa hawana furaha kutokana na chama chao kubinafsishwa na mtu mmoja. Waende CHADEMA wakafanye kazi, na uteuzi watapewa, kwani nafasi zitakuwepo nyingi zitakazohitaji kujazwa.
Kumbe UPINZANI bado upo?Naunga mkono hoja, ni heri mkashindwa kwenye uchaguzi kwa sababu zingine za wazi au kuonewa kuliko tuje kuambiwa alikuwa pandikizi.
UPINZANI UTAFIA HAPO
Akili imeanza kuwaingia...Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na rushwa,kujilimbikizia mali na vitendo vingine ambavyo ni kinyume na sheria za nchi.
Binafsi naamini Nyerer tu ndie aliekuwa na sifa hii na ndio maana aliweza kuwakosoa watawala bila hofu ya kuumbuliwa au kufanyiwa mizengwe ila kwa waliobaki, sijui kama yuko mwenye sifa ya aina hii au walau ya kufanana na sifa alizokuwa nazo Baba wa Taifa.
Kwa msingi huu,kama Membe ni mmojawapo ya watu wenye sifa kama za Mwalimu Nyerere,basi mnaweza kumuamini, vinginevyo, kuweni makini nae sana na mjiulize sana ujasiri huu anaouonyesha ni wa kweli au kuna kilicho nyuma yake kabla ya kufikiria kumpa nafasi yoyote katika vyama vyenu na hasa ya kuwa mgombea katika uchaguzi wa baadae mwaka huu iwapo ataonyesha ni ya kutaka kuhamia katika vyama vyenu.
Sometimes in life, it worth to be curious when others are satisfied,and to be dissatisfied, when other are curios.
Sasa tusipomchukua Membe, yule jamaa wa MIGA atarudi kweli?One of the biggest problem ya Membe ni kwamba huyu ni TISS na kwa nchi yetu hii huwezi kamwe kuitenga TISS na CCM...
Lingine ni kwamba TISS ni kazi ya kudumu hasa kwa level ya Membe... Anaweza kuwa nawe kwa muda tuu lakini mambo yakienda mrama si mwenzako tena.. Atarudi kwenye asili yake
Zaidi Membe yuko kisiasa zaidi kuliko kiutendaji.. Anaongea sana na ni mwepesi wa kufunguka huku akiwa hawezi kuficha hisia zake... Hawezi kabisa kubaki kwenye neutral point ili kuficha misimamo yake kwenye baadhi ya mambo
Jr[emoji769]
Haisaidii maana wenye chama wenyewe ndio wenye kuamua na si hawa mashabiki humu.Akili imeanza kuwaingia...
Mwamba hajapiga hesabu zake bado. Akiona inalipa nani wa kumzuia?Akili imeanza kuwaingia...
Ndoto kama hizi husaidia kupunguza stress.Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.