Uchaguzi 2020 Wapinzani msimuamini sana Membe kwa yoyote atakayosema na kuyatenda kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu baadae mwaka huu

Hapana why now n not then ? Ya lowasa yametosha hatutaki wasaliti Tena.
"Then" when?

It is now because it is the season for doing it.

Wasaliti wapo kila sehemu, hata wengi waliomo ndani ya chama mazingira yanaporuhusu wanasaliti, kwani huyaoni yanayofanyika hata sasa?

The difference now, is that no one comes with a promise of a specific position in the party. Those who decide to come, must work to prove their worth before being rewarded for the outcomes of their work.

What is wrong with that?
 
Bado hukuelewa nilichoandika na ukani'quote.'

Hapa unazidi kujipoteza. Badala ya kutafuta 'mkirindi', ingekusaidia kama ungesoma tena niliyoandika, halafu uka'quote' bila ya kuelewa kilichoandikwa.
Hata ungeleta 'ujuaji' kiasi gani Membe wako ni 'takataka' tu.

Na hana tofauti na wakina Lowassa&associates na hana msaada wowote ule kwa Chadema ila kama unampenda sana mchukue uende ukanywe nae chai.
 
Kwani wewe ndie CHADEMA au ni mali yako? Mbona unakuwa mpuuzi hivyo!
 
Kama mlikuwa tayari kuungana na shetani kuiondoa CCM mnashindwa vipi kuungana na Member?
 
Huu sizani kama ni ukweli mwenyekiti si magufuli iweje akatwe?
 
Hata ungeleta 'ujuaji' kiasi gani Membe wako ni 'takataka' tu.

Na hana tofauti na wakina Lowassa&associates na hana msaada wowote ule kwa Chadema ila kama unampenda sana mchukue uende ukanywe nae chai.
Unamtukana mtu aliyekuzidi akili, umaarufu,Pesa, Hadi ujinga kakupita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…