Uchaguzi 2020 Wapinzani msimuamini sana Membe kwa yoyote atakayosema na kuyatenda kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu baadae mwaka huu

Kumbe somo la Lowassa,Sumaye&Co. halikutuingia vizuri?

Upuuzi ule wa 2015 ukirudiwa tena Chadema kinaenda kua 'kichwa cha mwendawazimu' milele.
Naona hutaki kunielewa kwa maksudi mkuu mng'ato.
Niliyoandika hapo yanahusiana vipi na ya 2015 kama sio kulazimisha unayoamini wewe yawe ninayopendekeza?
 
Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na rushwa,kujilimbikizia mali na vitendo vingine ambavyo ni kinyume na sheria za nchi.

Binafsi naamini Nyerer tu ndie aliekuwa na sifa hii na ndio maana aliweza kuwakosoa watawala bila hofu ya kuumbuliwa au kufanyiwa mizengwe ila kwa waliobaki, sijui kama yuko mwenye sifa ya aina hii au walau ya kufanana na sifa alizokuwa nazo Baba wa Taifa.

Kwa msingi huu,kama Membe ni mmojawapo ya watu wenye sifa kama za Mwalimu Nyerere,basi mnaweza kumuamini, vinginevyo, kuweni makini nae sana na mjiulize sana ujasiri huu anaouonyesha ni wa kweli au kuna kilicho nyuma yake kabla ya kufikiria kumpa nafasi yoyote katika vyama vyenu na hasa ya kuwa mgombea katika uchaguzi wa baadae mwaka huu iwapo ataonyesha ni ya kutaka kuhamia katika vyama vyenu.

Sometimes in life, it worth to be curious when others are satisfied,and to be dissatisfied, when other are curios.
Membe hana tofauti na Lowassa
 
One of the biggest problem ya Membe ni kwamba huyu ni TISS na kwa nchi yetu hii huwezi kamwe kuitenga TISS na CCM...
Lingine ni kwamba TISS ni kazi ya kudumu hasa kwa level ya Membe... Anaweza kuwa nawe kwa muda tuu lakini mambo yakienda mrama si mwenzako tena.. Atarudi kwenye asili yake

Zaidi Membe yuko kisiasa zaidi kuliko kiutendaji.. Anaongea sana na ni mwepesi wa kufunguka huku akiwa hawezi kuficha hisia zake... Hawezi kabisa kubaki kwenye neutral point ili kuficha misimamo yake kwenye baadhi ya mambo

Jr[emoji769]
inshort sio mnafiki
 
Naona hutaki kunielewa kwa maksudi mkuu mng'ato.
Niliyoandika hapo yanahusiana vipi na ya 2015 kama sio kulazimisha unayoamini wewe yawe ninayopendekeza?
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Namuunga mkono, mleta mada, Membe haaminiki, ni muonga kwa Tabia, atawauza chama atakachojiunga nacho
Uko sawa kabisa kwa 100%.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na rushwa,kujilimbikizia mali na vitendo vingine ambavyo ni kinyume na sheria za nchi.

Binafsi naamini Nyerer tu ndie aliekuwa na sifa hii na ndio maana aliweza kuwakosoa watawala bila hofu ya kuumbuliwa au kufanyiwa mizengwe ila kwa waliobaki, sijui kama yuko mwenye sifa ya aina hii au walau ya kufanana na sifa alizokuwa nazo Baba wa Taifa.

Kwa msingi huu,kama Membe ni mmojawapo ya watu wenye sifa kama za Mwalimu Nyerere,basi mnaweza kumuamini, vinginevyo, kuweni makini nae sana na mjiulize sana ujasiri huu anaouonyesha ni wa kweli au kuna kilicho nyuma yake kabla ya kufikiria kumpa nafasi yoyote katika vyama vyenu na hasa ya kuwa mgombea katika uchaguzi wa baadae mwaka huu iwapo ataonyesha ni ya kutaka kuhamia katika vyama vyenu.

Sometimes in life, it worth to be curious when others are satisfied,and to be dissatisfied, when other are curios.
Wewe kwenye saccos unamaamuzi gani? Mwenye saccos akipewa pesa kidogo tu anabadirisha gia angani pia utashangilia kama zuzu!!
 
Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na rushwa,kujilimbikizia mali na vitendo vingine ambavyo ni kinyume na sheria za nchi.

Binafsi naamini Nyerer tu ndie aliekuwa na sifa hii na ndio maana aliweza kuwakosoa watawala bila hofu ya kuumbuliwa au kufanyiwa mizengwe ila kwa waliobaki, sijui kama yuko mwenye sifa ya aina hii au walau ya kufanana na sifa alizokuwa nazo Baba wa Taifa.

Kwa msingi huu,kama Membe ni mmojawapo ya watu wenye sifa kama za Mwalimu Nyerere,basi mnaweza kumuamini, vinginevyo, kuweni makini nae sana na mjiulize sana ujasiri huu anaouonyesha ni wa kweli au kuna kilicho nyuma yake kabla ya kufikiria kumpa nafasi yoyote katika vyama vyenu na hasa ya kuwa mgombea katika uchaguzi wa baadae mwaka huu iwapo ataonyesha ni ya kutaka kuhamia katika vyama vyenu.

Sometimes in life, it worth to be curious when others are satisfied,and to be dissatisfied, when other are curios.
Jasusi Mbobezi
 
Yeyote anayefanya siasa za upinzani akiwa ndani ya CCM ni mpinzani halisi.
Membe anayohaki ya kufanya siasa kupitia upinzani maana ameonyesha kuwa ni mpinzani halisi wa utawala huu dhalimu
 
Wanaweza kabisa kumuacha aongee au atende atakavyo ili muamini kweli ni mwenzenu kumbe wana agenda zao, hivyo wapinzani wafanye kazi ya ziada kujua ukweli kuhusu Membe na misimamo yake kabla ya kumuamini kwa asilimia 100.
Kumgusa Membe ni kumgusa Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa vikao vijavyo vya ccm Chimwaga , Magufuli mpaka muda huu hajui kama atapona , maana atakuwa nje ya vikao vya kumjadili , naamini atakatwa tu maana uborongaji wake hauna mfano , hiki ndicho kimefanya watekaji kumuogopa Membe
 
Mkuu 'denoo J', Membe anao msaada sana CHADEMA wakimtaka, na nawashawishi wamtake.

Kwani Lissu hawezi hata kumteua awe waziri baada ya kazi kubwa atakayokuwa ameifanya kwenye kampeni?

CHADEMA wakati huu ni wa kuwakaribisha kwa wingi, wote walioko ndani ya CCM wakiwa hawana furaha kutokana na chama chao kubinafsishwa na mtu mmoja. Waende CHADEMA wakafanye kazi, na uteuzi watapewa, kwani nafasi zitakuwepo nyingi zitakazohitaji kujazwa.
Hapana why now n not then ? Ya lowasa yametosha hatutaki wasaliti Tena.
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Uko sawa kabisa kwa 100%.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Bado hukuelewa nilichoandika na ukani'quote.'

Hapa unazidi kujipoteza. Badala ya kutafuta 'mkirindi', ingekusaidia kama ungesoma tena niliyoandika, halafu uka'quote' bila ya kuelewa kilichoandikwa.
 
Back
Top Bottom