Mzee kasaidia sana Watanzania kujua nini kinaendelea kwenye maridhiano,Slaa ni Mzalendo, vijana waache kumnanga sana. Kwanza kakipigania chama sana kuliko watu wengi ambao walikuja wakaondoka.
Walikaa muda mrefu vikao Kwa vikao bila mrejesho Kwa umma Hadi Mzee huyo alipohoji akisaidiana na Lissu na Lema.