Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

1. Umeeilewa mada?

2. Nini mchango wako katika maada hii

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo​

Hao wapinzani ni wapi si hawa wanafiki kina Yericko Nyerere wameanzisha hadi mada wakimsifia mama?

Wapinzani wenyewe ni wapi hawa kina Malisa kila siku lazima waandike mada kusifia mama?
 
Bavicha na nyumbu KWA Sasa wapo tayari hata tuuzwe wakiamini wanamkomoa Mwendazake kumbe wanakomoa vizazi na vizazi vyao

Huwa hamueleweki wala kueleweke

Wapinzani na wanahataka, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo​

Hao wapinzani ni wapi si hawa wanafiki kina Yericko Nyerere wameanzisha hadi mada wakimsifia mama?

Wapinzani wenyewe ni wapi hawa kina Malisa kila siku lazima waandike mada kusifia mama?

Mbona unajadili ujinga wewe

Jadili mada ....... uwazi katika mikataba
 
Haina mantiki yoyote kuandamana ili kudai β€œmikataba iwekwe wazi”.

Kama maandamano, basi yanafaa yawe ni ya kudai Katiba mpya itakayoleta pamoja na mambo mengine hilo la mikataba kuwekwa wazi pamoja na kuundwa kwa tume huru kabisa ya kusimamia chaguzi zetu.

We need to focus.
 
Jiwe si mtu wa kuamini maneno yake,alisema tunajenga nchi kwa pesa zetu za ndani wakati ameacha deni kubwa sana
 
1. Umeeilewa mada?

2. Nini mchango wako katika maada hii

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo​

Si ndio hawa wapinzani wanaoshangilia kila tukio la siku hizi wakidhani wanamkomoa alie mbinguni?? Au mnapanga kuitisha maandamano ya kushangilia??
 
Huwa hamueleweki wala kueleweke

Wapinzani na wanahataka, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo​

Vp we nyumbu unasemaje
 
Kuna umuhimu gani kujenga bandari mpya ? Kwanini tusiboreshe bandari zilizopo mtwara , tanga na DSM ?
 
Mkuu, msimu wa pamba umeanza.. ushavuna?

Ya Bagamoyo mwache Mh rais, anajua anachokifanya, na anajitambua.

Utanishtua kilo ngapi za pamba umevuna ili nikuunganishie kwa jamaa.
 
Hongera sana Mh Rais SSH..Mungu akubariki akupe afya njema na umri mrefu.
 
Hongera sana Mh Rais SSH..Mungu akubariki akupe afya njema na umri mrefu.
Kuna umuhimu gani kujenga bandari mpya ? Kwanini tusiboreshe bandari zilizopo mtwara , tanga na DSM ?

Ya Bagamoyo ni muhimu.. hizo zingine zitaboreshwa tu, so tumpe muda, na ikiwezekana hata miaka 30 mama atuongoze. Yuko vizuri sana.. alafu waambie wenzio waache kusemasema "RIP Magu, tutakukumbuka Mno" ni ujinga wa hali ya juu.
 
Tafadhali! Muacheni mama apige kazi tupumue kidogo.

Cha muhimu yule gaidi ameshakufa tujenge nchi
 
Hao wapinzani ni wapi si hawa wanafiki kina Yericko Nyerere wameanzisha hadi mada wakimsifia mama?

Wapinzani wenyewe ni wapi hawa kina Malisa kila siku lazima waandike mada kusifia mama?
Mama akifanya jema lazima asifiwe, usiwageuze wengine mawe kama nyie.
 
1. Umeeilewa mada?

2. Nini mchango wako katika maada hii

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo​

Mkuu, achana na huyo MATAGA hajui hata anachosimamia bali yuko tu humu kuandika pumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…