Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Hao wapinzani ni wapi si hawa wanafiki kina Yericko Nyerere wameanzisha hadi mada wakimsifia mama?1. Umeeilewa mada?
2. Nini mchango wako katika maada hii
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo
Wapinzani wenyewe ni wapi hawa kina Malisa kila siku lazima waandike mada kusifia mama?