AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Pale inapotokea adui anapokwambia kwenye mzinga uliojaa asali kuwa hakuna NYUKI, wewe ingiza tu.. .
Usimsikilize hakutakii mema. ..
Asijikute anakushauri...
Mwanzo walimsema sana Mbowe mbona haachii UENYEKITI. .. Kiasi kwamba hadi wanachadema wakakaa chemba kufikiria "eti kweli mbona mwenyekiti haachii muda mrefu.. ." hadi mkatolewa kwenye hoja ya msingi.. .
Wakamsema Zitto kabwe eti oooh msaliti, wakawashirikisha hadi baadhi ya watu chadema kuwaaminisha kuwa zito ni msaliti.. .wakatumika pamoja kusambaza propaganda. ..
Leo hii vijana wa CCM wanawashauri UPINZANI HALISI(ACT & CHADEMA) kwa pamoja. . . Ety msipokee MEMBE. .. Ety yatatokea yaleyale ya Lowasa.. .
Mbona hamkutoa ushauri huo huo alipoenda upinzani Lowasa..? Leo ndo mwautakia mema upinzani ety MTAANGUKA UPINZANI MKIMPOKEA MEMBE.. .
Kweli siasa ni APPLICATION YA UNAFKI.. .
Leo adui yako vitani anakwambia usitumie silaha hiyo ety itakudhuru. .. Msisikilize ndo ongeza juhudi zaidi ya mapambano juu ya silaha hiyo. ..
Bahati nzuri CCM haina watu STRATEGIST kama KINANA wachora mipango kama hao akina membe, SASA HIVI WAPO WAIMBA MAPAMBIO TU YA KUMTUKUZA MUNGU WAO. . .NDIO MAANA ROHO ZINAWAUMA. . .
UPINZANI TAFAKARINI SANA HIZI TAHADHARI MNAZOPEWA JUU YA MEMBE.. . KUNA KITU KIPO NYUMA.. .