EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Wapinzani hawajui wanacho kipingaWalishauri mnunue bila kuwa na busines plan?
Walishauri mnunue ndege kwa cash?
Afadhari ndoa zetu zitatulia sasaWapenzi noma, wametupandishia bei za vifurushi.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Jibu hizo hoja hapo juu acha kuruka rukawapinzani hawajui wanacho kipinga
Nijibu hoja zipi mkuu, tizama hiyo video utaelewa nini nimekilenga sihitaji maswali mengi.Jibu hizo hoja hapo juu acha kuruka ruka
Ni lini mlikaa nao wakawapa huo ushauri?Wapinzani hawajui wanacho kipinga
Nijibu hoja zipi mkuu, tizama hiyo video utaelewa nini nimekilenga sihitaji maswali mengi.
hakuna cha hoja hapo mkuu,Hoja zipi?
. Biashara yoyote lazima uwe na
1. Mipango thabiti..
Nimekuja na uthibitisho hapa unaonyesha jinsi wapinzani walivyo wanafiki.
Wanatuchanganya watanzania....
hahahahaaa, mbona wamesema hapo mkuu, acha kukwepa ukweli. Ninacho jifunza ni kimoja tu tuna wabunge mafundi wakuongea maneno mdomoni tu.umeungaunga sana
Hakuna hata mmoja haapo aliyesema mnuunue nyingi bila kuangalia ushindani wa soko wala hakuna aliyeshauri zinunuliwe kwa misifaa, NOTHING!
Hujui lolote, sana sana mzushi tu.hahahahaaa, mbona wamesema hapo mkuu, acha kukwepa ukweli. Ninacho jifunza ni kimoja tu tuna wabunge mafundi wakuongea maneno mdomoni tu.
Ulikuwa ushauri.Nimekuja na uthibitisho hapa unaonyesha jinsi wapinzani walivyo wanafiki.
Wanatuchanganya watanzania...
Rudi kwenye muktadha wa mada, acha kuropokaTulikuwa tunasafiri na fast jet Dsm - Mbeya kwenda na kurudi tsh180, 000 ndege zilijaa 120 passengers
Sasa hivi Dsm - mbeya tsh 445,000 hovyo kabisa.... pangaboy
Kuifungia Fast jet nafuu kwa nani?
1. Wasafiri wameacha nakurudi kwenye mabasi 13hrs on the road
2. Serikali imekosa kodi iliyokuwa inapata kutoka fast jet
3. Sasa hivi wanapeleka pangaboy ya 45 seats!!! Very expensive
Ujuwaji wa hasara tupu kwa raia na serikali yenyewe
Wewe ndio hujui lolote, mkuu. Ungekua unajua lolote ungejieleza kwa weledi lakini kwasababu hujui lolote zaidi yangu basi ndio sababu unajieleza kwa jazba.Hujui lolote, sana sana mzushi tu.