Mbona mjinga hivo relevance na correlation ya hoja yako unaifaham?Rudi kwenye muktadha wa mada, acha kuropoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mjinga hivo relevance na correlation ya hoja yako unaifaham?Rudi kwenye muktadha wa mada, acha kuropoka
Zikapigwa chapa HAPA KAZI TU kumtukuza mnunuzi! Wamefeli wanakuja kulalamikia wapinzani! Kama mazuzu vile!umeungaunga sana
Hakuna hata mmoja haapo aliyesema mnuunue nyingi bila kuangalia ushindani wa soko wala hakuna aliyeshauri zinunuliwe kwa misifaa, NOTHING!
Wewe ndio hujui lolote, mkuu. Ungekua unajua lolote ungejieleza kwa weledi lakini kwasababu hujui lolote zaidi yangu basi ndio sababu unajieleza kwa jazba.
Peleka ujinga wako hukoNimegundua kazi ipo wakuu
We una ndoa chakubanga weweAfadhari ndoa zetu zitatulia sasa
hahahahahaaaaaaaa, 😂😂😂😂😂sawa tu hamna shida lakini msisahau kuna uhuru wa habari wakuu.Aliyetoa posti na maCCM wote ni sawa.
Kwani ndoa shilingi ngapi?We una ndoa chakubanga wewe
Mbona unatujazia forum na maujingaujinga tu! Hauna vitu vya maana vya kujadili?Nimekuja na uthibitisho hapa unaonyesha jinsi wapinzani walivyo wanafiki.
Wanatuchanganya watanzania
Wao ndio walio ishauri serikali inunue ndege na kufufu ATCL leo tena hao hao ndio wapingaji wa ndege na ATCL.
Naomba niweke hii video kama ilivyo, niwaombeni dada zangu na kaka zangu wa upinzani hebu tizameni hii video. Hiki ndicho mlicho kizungumza katika bunge letu la awamu ya nne mkaja tena mkakizungumza katika bunge la awamu ya tano.
View attachment 1741271
mleta mada,Wao ndio walio ishauri serikali inunue ndege na kufufu ATCL.
mleta mada,
sio tu hilo la kununua ndege, bali pia hata hili la kupandishiwa gharama kubwa ya vifurushi ni wapinzani.
wapinzani watu wabaya sana, wameishauri serikali iongeze gharama za vifurushi.
au nasema uongo ndugu zangu.
Wapinzani wanajua kulaumu bila kutoa solution -prof lumumba
How? Wewe na huyo mzushi wote nimatatizo tu.
1. Bajeti ilijadiliwa wapi?
2. Bunge lilipitisha lini?
Mfanye mambo yenu uchochoroni halafu mkalaumu wapinzani .
[/QUOTErudi kwenye muktadha wa madaHow? Wewe na huyo mzushi wote nimatatizo tu.
1. Bajeti ilijadiliwa wapi?
2. Bunge lilipitisha lini?
Mfanye mambo yenu uchochoroni halafu mkalaumu wapinzani .
Mambo ya kupitisha mimi hayanihusu, silikiza video jinsi wanavyojinga wenyewe.Walishauri ununue ndege kwa kificho Bila Bunge kujua na kujihamishia Ununuzi Ilkulu?
Walishauri kununua kwa kufuata taratibu. Siyo kununua Bajaji kwa bei za V8.Mambo ya kupitisha mimi hayanihusu, silikiza video jinsi wanavyojinga wenyewe.
Mkuu rudi hiyo video itazame vizuri jinsi wanavyopinga pingaWalishauri kununua kwa kufuata taratibu. Siyo kununua Bajaji kwa bei za V8.
Pia Ikumbukwe J.K Nyerere hakuchimba Madini yoyote ila ali nunua ndege zenye capacity ya 240, 300+ passengers. Walio ua shirika hawa hawa wezi wa CCM.
Ukiwalundika "wapinzani" pamoja tu, nakuona mwehu.Nimekuja na uthibitisho hapa unaonyesha jinsi wapinzani walivyo wanafiki.
Wanatuchanganya watanzania
Wao ndio walio ishauri serikali inunue ndege na kufufu ATCL leo tena hao hao ndio wapingaji wa ndege na ATCL.
Naomba niweke hii video kama ilivyo, niwaombeni dada zangu na kaka zangu wa upinzani hebu tizameni hii video. Hiki ndicho mlicho kizungumza katika bunge letu la awamu ya nne mkaja tena mkakizungumza katika bunge la awamu ya tano.
View attachment 1741271