Inshu ni optimum utilization of scarce resources kuna maeneo mengi ya kucover.
Kulenga huko tu kutasababisha haya malalamiko ya kuangalia sector moja au mbili na kuacha zingine.
Mimi naona tunahitaji sera zenye nguvu katika sekta zote na kuthamini backward and forward linkages.
Nitaeleza siku moja why hata viwanda vimefeli.
Hapana Kodi zilizopo tu zinaumiza wananchi sasa mkija mnataka muongeze zingine hapana hatutaki wananchimawazo mazuri sana, sijui kama watakuelewa
Mawazo yako ni hatari sana, napenda nikuhakikishie mawazo yako juu ya elimu hayana tofauti na namna Magufuri anafikiria ki ujumla.
Magufuri ni ant-private sector, hili linaeleweka.
sasa wewe japo unajificha ficha, lakini una hurka za namna yake, ukipewa madaraka wewe unaweza kudisplay character hatarishi kuliko hata za magufuri.
Kuhusu elimu, kama umeona Secta Binafsi inafanya vizuri, kwa nini usiachilie mfumo mzima wa elimu usimamiwe na sekta hiyo, nyie mjikite kwenye strategic education issues.
waacheni sekta binafsi wapambane kwenye madarasa,madawani,n.k nyie mjikite kwenye mitaala, Tafiti, elimu za vyuo, na uwezeshaji?
Wala shule za serikali hazijafa kwa sababu ya ukosefu wa pesa,bali shule nyingi za private ama zinamilikiwa na viongozi na makada wa ccm au viongozi wa ccm wanahisa kwenye shule hizo.So wameua shule za umma makusudi ili wafanye biasharaMwaka 2020 wapinzani tukishinda serikali tunawaahidi watanzania kuanzisha kodi mbili mahususi
1. Kodi ya Kuboresha Elimu
2. Kodi ya kuboresha Makazi
Kodi ya kuboresha Elimu
Miaka ya 80, 90 ilikuwa kusoma shule za serikali ni ufahali na kusoma shule za private ni fedheha lakini leo hii tunashuhudia kibao kimegeuka kusoma shule za private ndio ufahari huku kusoma za umma ni kama ishara ya kipato kidogo cha familia.
Changamoto sio status za familia bali mazingira ya kujifunzia wanafunzi katika shule hizi.
Nini kinaweka tofauti tangu enzi hizo mpaka leo ni "Uwekezaji unaofanywa na wamiliki wa shule hizo" zamani watu binafsi hawakuwa na mitaji ya kuwekeza kutengeneza mazingira bora ya elimu na hivyo kile kidogo ambacho serikali ilifanya kilitosha kutoa mazingira bora kulinganisha na private. Lakini leo hii uchumi umebadilika, elimu imekuwa biashara na watu binafsi wamewekeza na kutengeneza mazingira bora ya elimu na kugeuza kibao kusomeka kusomea shule za umma ni kama kuonyesha umasikini wa familia.
Swali ni je, hivi huu umma unaomiliki shule hizi za umma umeshindwa kweli kuboresha mazingira ya elimu katika shule za umma au kinachokosekana ni watu wenye vision na kuhamasisha watu kufanya wenyewe?
Wapinzani tunaamini kinachokosekana ni watu wenye vision na sisi wapinzani vision hiyo tunayo.
Kwanza tutaweka plani ya miaka 50 ijayo tunataka mwanafunzi wa shule ya umma asomee katika mazingira gani? Kama ni ubora wa madarasa, vifaa gani anahitaji vya elimu, vifaa gani anahitaji vya michezo, vifaa gani anahitaji vya kumjenga kijamii na kimaisha. tuta ainisha mtoto anatakiwa kutembea umbali gani kufuata shule na je ili mtoto asome vizuri anahitaji kukaa mazingira gani kama ni hosteli, au nyumbani au kuchanganya vvyote.
Baada ya kuwa na vision ya tunakotaka kwenda tutaanzisha kodi kwa ajili ya kuboresha elimu ambayo kila mtanzania atachangia na tunaamini tutaleta mabadiliko makubwa sana katika sekita ya elimu kwa watoto wetu na kubadili future ya watu wetu
2. Tunawaahidi kuanzisha kodi ya kuboresha makazi.
Inasikitisha sana leo hii kuona miji yetu inasambaa kwa kasi sana bila mpangilio wowote. kuna watanzania wako kwenye miji mikubwa hawana umeme, hawana maji, nyumba nyingi hazifikiwi na barabara.
Sisi wapinzani tunaamini maisha bora sio kukaa kwenye magorofa bali ni kila mwananchi kuishi "decent life" kulingana na kipato chake. Unaweza kuwa na nyumba ya vyumba viwili na sebule ikiwa imeezekwa kwa paa moja ukawa na maisha mazuri.
Sisi tunaamini tunaweza kusimamia ukuaji wa miji yetu na kuweka arrangement, usafi wa mazingira, tutaweka kanuni za makazi ambazo zitasimamiwa, tutaondoa utunzaji wa viwanja katikati ya miji.
Sisi tunaamini biashara ya ardhi inawapa watanzania maisha magumu, kuna watu wameshikilia viwanja maeneo ya karibu na hawajengi wakisubiri miaka isonge vipande bei na matokeo yake ni majirani kuzungukwa na mapori huku wanaotaka kujenga wakikimbilia mbali kutafuta unafuu wa bei. Huwezi kuacha mfumo wa makazi ukaendeshwa kiholela ukategemea watu wako waishi maisha bora.
Sioni kama tatizo ni kodi kuwa juu.Nchi yoyote dunia haijengwi kwa mikopo au misaada,bali inajengwa kwa kodi za wananchi.So swala la kodi kuwa kubwa kwa watu wenye akili si shida,shida ni kodi hiyo inatumikaje.Ukiwa na akili zako hata ukilipa kodi kiwango kidogo namna gani then akatokea mtu anakuwa anazigawa yeye tena pesa taslimu na bila kufata utaratibu lazima ikiboe mnoUpinzani.mungejua mulivyotuumiza na zile Kodi zenu za majengo mlipokamata halmashauri za dar,Arusha,moshi na mbeya na Iringa Sina hamu na nyie.Kodi zenu zilikuwa juu Hadi serikali ikaingilia Kati kuchukua Kodi zote za majengo ndio tukapata unafuu
Umeshasema mpizani. Kwaiyo hata uje na story zakuwachukua walimu wote wa private wafundishe government sijui kama watakuelewa
Kuna watu wanavichwa vigumu
Zinaumiza kwa sababu ninyi watu mnatumia kodi zetu hovyo kwa kuhongana vyeo na kulipana fadhira kupitia kodi zetu,Badala yake huduma za jamii zinakuwa mbovu mbovu kupita kiwango cha ubovuHapana Kodi zilizopo tu zinaumiza wananchi sasa mkija mnataka muongeze zingine hapana hatutaki wananchi
Ningesema hizi sera za watawala sasa si wangeniuliza mbona hawafanyi? Lakini tujenge utamaduni wa kujenga hoja na kushawishi wananchi kwa hoja.
ninaamini wapinzani tumekuwa tukikosea kwa kuchukua dhana ya upinzani kama ni kupinga serikali na matokeo yake ni kutokujenga hoja ili wananchi washawishike na pale mda wa kuchagua ukifika watupe nafasi bali sisi tumekuwa tukichukua maana ile ya kupinga kile serikali inachokifanya. Wao wakinunua ndege sisi tunabaki kuwaambia (kuwapinga) kwa nini mnunue ndege, wakijenga strigler sisi tunabaki kusema kwa nini mjenge stigle, wakijenga reli sisi tunahangaika kuwalazimisha wasijenge reli, hapo ndipo tulipo kosea. Kama wananchi waliyakubali haya na wananchi wanaona haya ni bora kwa sasa basi waache wajenge.
Sasa wapinzani tunakuja na approach mpya, ya kuwaacha wale walioko madarakani wafanye wanachoona sera zao zinasema na sisi tunawaomba kama wananchi wataamua kutupa nafasi basi watuache tufanye kile tutakachokuwa tumewaahidi wananchi kukifanya.
ikifika 2020 october tunaamini wananchi watahitaji mrejesho kujua yale mliyotuahidi kama kununua ndege, kujenga stigler, kujenga reli je mmefanya?
Lakini hilo sio kigezo cha kupewa nafasi tena bali wananchi watarudi kwenye kuchambua je unatuahidi nini katika miaka 5 inayokuja ya 2020 to 2025.
Sisi wapinzani kwanza tunawaambia yote mazuri ambayo yatakuwa yamefanywa na serikali zilizopita tutayaenzi na yale ambayo yatakuwa hayajakamilika tutayakamilisha. miradi mikubwa yote iliyoanzishwa na inayofanyika katika awamu zilizopita tutahakikisha inakamilika.
Tofauti yetu sisi na wenzetu ni kwamba hawawezi kuboresha zaidi ya hapo, sera zao ni zilezile hawatakuwa na jipya.
sisi tunawaeleza wananchi tunakuja kuboresha maisha ya mtanzania mmoja mmoja pamoja na kuboresha mazingira kwa ujumla ya uchumi wetu.
wakati ukifika tutawaomba waweke benchi wapumue kwanza, kiukweli wamefanya kazi nzuri ambayo watakumbukwa na watanzania siku zote ila wamechoka hawana jipya hivyo kunahitajika "super sub" ndio tufunge magoli ya kiuchumi.
Sisi tunasema huwezi kupeleka nchi kwa kasi kama hauna plan, kwamba ikifika mwezi wa 10 unaanza kusukuma watu wajenge madarasa ili mwezi wa kwanza watoto waingie, miji inajengwa hakuna plani kila mmoja anajenga anavyotaka, mvua zikitaka kunyesha ndio unawaambia wa mabondeni wahame, ukitaka kujenga miundombinu ndio unabomoa makazi ya watu.
sisi tunasema tutatengeneza tanzania ya miaka 50 au 100 ijayo tunataka ifananeje katika kila idara na hizo dira ndizo zitakuwa mwongozo wa kila anayetekeleza jambo la maendeleo lazima alenge kwenye dira yetu.
kila mwananchi tutahitaji ajue tunaelekea wapi na wao wajipange kusukuma maendeleo kwa kutizama dira yetu ya pamoja.
Serikali yetu sisi italenga kuwafanya watanzania kuishi kama malaika ili kufanya hivyo fedha mtazipata tena nyingi ila zitakuwa zikitumika nyingi pia.
Aisee kama mpango ni kuninyanganya viwanja vyangu kisa sijajenga wakati navilipia basi aisee kura yangu naiweka kuna MTU atakua na haja nayoMwaka 2020 wapinzani tukishinda serikali tunawaahidi watanzania kuanzisha kodi mbili mahususi
1. Kodi ya Kuboresha Elimu
2. Kodi ya kuboresha Makazi
Kodi ya kuboresha Elimu
Miaka ya 80, 90 ilikuwa kusoma shule za serikali ni ufahali na kusoma shule za private ni fedheha lakini leo hii tunashuhudia kibao kimegeuka kusoma shule za private ndio ufahari huku kusoma za umma ni kama ishara ya kipato kidogo cha familia.
Changamoto sio status za familia bali mazingira ya kujifunzia wanafunzi katika shule hizi.
Nini kinaweka tofauti tangu enzi hizo mpaka leo ni "Uwekezaji unaofanywa na wamiliki wa shule hizo" zamani watu binafsi hawakuwa na mitaji ya kuwekeza kutengeneza mazingira bora ya elimu na hivyo kile kidogo ambacho serikali ilifanya kilitosha kutoa mazingira bora kulinganisha na private. Lakini leo hii uchumi umebadilika, elimu imekuwa biashara na watu binafsi wamewekeza na kutengeneza mazingira bora ya elimu na kugeuza kibao kusomeka kusomea shule za umma ni kama kuonyesha umasikini wa familia.
Swali ni je, hivi huu umma unaomiliki shule hizi za umma umeshindwa kweli kuboresha mazingira ya elimu katika shule za umma au kinachokosekana ni watu wenye vision na kuhamasisha watu kufanya wenyewe?
Wapinzani tunaamini kinachokosekana ni watu wenye vision na sisi wapinzani vision hiyo tunayo.
Kwanza tutaweka plani ya miaka 50 ijayo tunataka mwanafunzi wa shule ya umma asomee katika mazingira gani? Kama ni ubora wa madarasa, vifaa gani anahitaji vya elimu, vifaa gani anahitaji vya michezo, vifaa gani anahitaji vya kumjenga kijamii na kimaisha. tuta ainisha mtoto anatakiwa kutembea umbali gani kufuata shule na je ili mtoto asome vizuri anahitaji kukaa mazingira gani kama ni hosteli, au nyumbani au kuchanganya vvyote.
Baada ya kuwa na vision ya tunakotaka kwenda tutaanzisha kodi kwa ajili ya kuboresha elimu ambayo kila mtanzania atachangia na tunaamini tutaleta mabadiliko makubwa sana katika sekita ya elimu kwa watoto wetu na kubadili future ya watu wetu
2. Tunawaahidi kuanzisha kodi ya kuboresha makazi.
Inasikitisha sana leo hii kuona miji yetu inasambaa kwa kasi sana bila mpangilio wowote. kuna watanzania wako kwenye miji mikubwa hawana umeme, hawana maji, nyumba nyingi hazifikiwi na barabara.
Sisi wapinzani tunaamini maisha bora sio kukaa kwenye magorofa bali ni kila mwananchi kuishi "decent life" kulingana na kipato chake. Unaweza kuwa na nyumba ya vyumba viwili na sebule ikiwa imeezekwa kwa paa moja ukawa na maisha mazuri.
Sisi tunaamini tunaweza kusimamia ukuaji wa miji yetu na kuweka arrangement, usafi wa mazingira, tutaweka kanuni za makazi ambazo zitasimamiwa, tutaondoa utunzaji wa viwanja katikati ya miji.
Sisi tunaamini biashara ya ardhi inawapa watanzania maisha magumu, kuna watu wameshikilia viwanja maeneo ya karibu na hawajengi wakisubiri miaka isonge vipande bei na matokeo yake ni majirani kuzungukwa na mapori huku wanaotaka kujenga wakikimbilia mbali kutafuta unafuu wa bei. Huwezi kuacha mfumo wa makazi ukaendeshwa kiholela ukategemea watu wako waishi maisha bora.
Tunakubaliana kuwa katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo tunaweza kutofautiana "approach" na hilo ndilo linalozalisha vyama tofauti hizo ndizo itikadi na sote tutaunganishwa na jambo moja la kutaka kuwaletea wananchi maendeleo.
kwa mtizamo wetu kuna mambo ambayo tunatakiwa kuyapatia mtizamo wa kipekee ili sekita hizo ziweze kuleta tija. Hebu fikiria mfano mtanzania mmoja anaanza sekondari ambayo ni ya umma, shule hii haina maabara, au kama maabara ipo ni jengo tu hajawahi kufanya practical yoyote mpaka anamaliza kidato cha nne, shule hii ya umma unakuta haina walimu katika baadhi ya masomo, watu waliomaliza form 4 na wakafeli ndio wanachukuliwa kuwafundisha.
baada ya miaka minne mtoto mtanzania huyu tunamtungia mtihani kumpima ili tumwambie kama kafaulu au kafeli, hivi kweli mwanafunzi huyu kamaliza kidato cha nne kweli? Ndio maana sisi tunaona tunahitaji kuweka fungu maalumu la kutizama elimu yetu, tuhakikishe tunaitoa hapa tulipo na kuisogeza mahali palipo juu zaidi. tukiweka kodi maalumu kwa ajili ya hili tunajua hata watendaji wa serikali wakibadirika bado fungu hili litakuwa liko palepale. lakini tukitegemea maamuzi ya nani aliyeko madarakani kaweka kipaumbele wapi hatutafika popote. Hivyo wazo la kuanzisha kodi au tozo ya kuboresha elimu haliepukiki kama tunataka kuipeleka elimu yetu mbele.
Aisee kama mpango ni kuninyanganya viwanja vyangu kisa sijajenga wakati navilipia basi aisee kura yangu naiweka kuna MTU atakua na haja nayo
Huyo Mwenyekiti wenu ni mkwepa kodi mkubwa,hiyo kodi si itaishia huko Machame kwenye mashamba ya mauaMwaka 2020 wapinzani tukishinda serikali tunawaahidi watanzania kuanzisha kodi mbili mahususi