Wapinzani Tukipewa serikali tutaanzisha kodi mahususi kwa mambo mawili

muanze na zile pesa mlizopewa na yule tajiri sijui Sabodo alizotoa kuboresha maisha ya watz zikayeyushwa.....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ego una akili nyingi sana neseme tu wanadam Tanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa
 
Nimeona tatizo lako.
kwamba shule za binafsi ni kwa ajiri ya watu wenye ukwasi. hiyo sio sawa hata kidogo.

Nadhani shule binafsi zinatoza karo kubwa sababu pia zinatoa maslahi mazuri kwa walimu, nakuhakikishia hakuna uboreshaji wowote wa msingi utakaofanywa na serikali yenu au hii ya CCM ambao utaleta mabadiriko ya ufanisi katika sekta ya elimu kama hayatohusisha kuboresha maslahi ya walimu na watendaji wengine. HAKUNA.

Mtatoa wapi hizo hela ndani ya miaka mitano au kumi. au na nyie mtataka mpewe miaka hamsini.
 

Tatizo unaingiza sera zako kwenye sera zetu na kutumia sera zako kutubishia sisi. Wewe tengeneza sera zako zenye mtiririko wa kwako na Sisi tunawaambia watanzania tumedhamiria kubadilisha sekita ya elimu nchini na hatuwezi kueleza kila kitu hapa bali tunawaonyesha dira ya wapi tunataka kuelekea naamini watatuamini na kutupa nafasi ya kuthibitisha hilo

Swala la maslahi kwa watanzania wote liko katika sera tofauti na tumekwisha sema wazi tunaamini katika kuongeza mzunguko wa pesa ili tungeneze ajira nyingi zaidi na kodi nyingi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…