LGE2024 Wapinzani tunaweza kuishinda CCM kwa kutumia ilani ya CCM yenyewe bila matusi au kufanya vurugu

LGE2024 Wapinzani tunaweza kuishinda CCM kwa kutumia ilani ya CCM yenyewe bila matusi au kufanya vurugu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Ningekuwa mpinzania ningeishinda CCM mapema asubuhi.nachukua ilani ya CCM nawaponda nayo.

Mtu uneahidi kufanya jambo kwa miaka mitano na hujafanya.sasa hapo nikikuambua kuwa wewe ni mwongo,mwizi wa kura kwa kuahidi uongo nk nitakuwa nimekuonea?

Wambieni wananchi kuwa CCM niwaongo maana kwenye ilani yao waliahidi kufanya hili na lile lakini wahawakutekeleza.tuchagueni sisi hayo yote waliyoahidi sisi tutayatekeleza kwa budii
 
Back
Top Bottom