Wapinzani tusimjibu Makonda. Tukimjibu tu tunajiharibia kwa wananchi

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Maana sisi ndio tulipaswa kupambana ili dhuluma , ufisadi na uonevu wa CCM uwekwe wazi.

Lakini tumebako kubug'aaa tu.

Leo hii wananachi wanataka kuona wazembe, mafisadi na wapigaji wanawajibishwa hadharani.

Alafu eti tuanze kuropoka na kupinga. Tutajichafua kwa wananchi.
 
Mumjibu mara ngapi?,nyie ni nyumbu waheed,sasahivi habari ni Makonda iwe nyie watoa taarifa na baadhi ya wanaccm wategemea mbereko za wazazi wao
 
Wajibu kitu gani kwa mfano? Kupanda punda?
 
Hivi Makonda alipaswa kueleza ubovu wa serikali ya CCM hadharani badala ya kuonyana huko kwenye vikao vyao?
CCM ni chama chao, serikali wameunda wao sasa afanyacho ni kuutaarifu umma kuwa kwa miaka yote hii CCM imeshindwa kuunda serikali madhubuti itakayo simamia rasilimali na ustawi wa wananchi.
Hii serikali sio ya Chadema wala UPDP bali ya CCM na Makonda anazunguka kuwaumbua watendaji waliowekwa na chama chao.
WANANCHI SIO WAJINGA
 
Hivi na nyie Kuna watu wanawaamini? 😁😁
 
Yaani mafisadi na wazembe wanaweza kuzuiwa na maigizo ya huyo muhalifu? Wapinzani hawana muda wa kujibishana na mfungwa mtarajiwa.
 

Kwani nani kamjibu?. Kila mtu na time zake. Yeye kabakia kuwaamrisha Wana CCM wenzake.
 
Na wewe tuondolee upumbavu wako wa kiuvccm hapa. Wakikunyima posho unajifanya nawe mpinzani pambaf.
 
Kwani nani kamjibu?. Kila mtu na time zake. Yeye kabakia kuwaamrisha Wana CCM wenzake.
Eti juzi anawataka wapinzani wafanye mikutano ili apate watu wa kijibishana nao, na kuonyeshana nyomi fake. Bahati nzuri wapinzani wamempotezea, amebaki kutoa maagizo ya kisanii ili aonekane anafanya kazi.
 
Nyie chadema matusi ndio mnaweza, siasa za hoja masuala hayo wenyewe ni ACT WAZALENDO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…