Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
What do u mean?Mbwa ametupiwa mfupa
Mikutano ya hadhara ndiyo njia rahisi ya vyama kujitambulisha kwa wananchi, kueleza sera zao, kueleza mapungufu ya serikali katika kuwatumikia wnanchi na hatimaye kuwashawishi wananchi wajiunge nao, wawachague ili waunde serikali na kuwa na wabunge wengi katika uchaguzi utakaofuata.Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?
Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?
Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Mkuu,Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?
Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?
Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Tozo zitapungua,mikopo itapungua na ujenzi wa nchi utakimbia,unasikia wewe mburura!Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?
Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?
Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Dunia ipo kiganjaniUkute huko nje hujawahi kuwepo
Ulimaliza la saba we kenge?Mkuu,
Unaelewa hata hapa unafanya mkutano wa kisiasa kueleza kwamba mikutano ya kisiasa haina maana?
Bila kuhukumu usahihi au upotofu wa hoja yako, unaelewa kwamba, bila kuwa na mikutano ya kisiasa, hata hiyo hoja yako kwamba mikutano ya kisiasa haina maana isingesikika?
Unaelewa kwamba una ji contradict?
Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?
Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?
Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Huna akili.Tangu mikutano iruhusiwe Kuna watu Wana hasira. Hiyo marekani unayoiongelea mbona akina Trump wanafanya mikutano? . Tena wenyewe Wana midterm elections na wanaweza kumrecall mwakilishi wao.
Halafu huo muda tuliokuwa hatufanyi mikutano Nini kilibadilika? Deni limeongezeka mpaka Trilioni 92, mfumuko wa Bei juu nk.
Acha utopolo wako unadhani Kwa siasa zetu za Afrika watu wanahangaikia maisha hata wengine hawana hii TV na hawasimi magazeti Wala vitabu, mashuleni ndio hao wanafunzi badala ya kujibu maswali wanaandika matusi!!Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?
Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?
Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Digital politics?Acha utopolo wako unadhani Kwa siasa zetu za Afrika watu wanahangaikia maisha hata wengine hawana hii TV na hawasimi magazeti Wala vitabu, mashuleni ndio hao wanafunzi badala ya kujibu maswali wanaandika matusi!!
Inashangaza sana haonwaalimunwanapimaje wanafunzi na ripoti zaobhuko nyuma zikoje?
Mikutano ya hadharani ndivyo unayoleta wanachama na wafuasi na ndio kukosoana na Serikali inapofanya uchafu! Bungeni kukilala upinzani unaamsha!
Jielewe acha Uchawa!
Sent from my T810S using JamiiForums mobile app
Huna akili.
Mbona mimi nimekupa hoja, kwa heshima tu.Ulimaliza la saba we kenge?
Quat of yearMbwa ametupiwa mfupa
Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?
Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?
Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Bungeni Kuna Wapinzani? Bunge la USA Lina Democrats pekee yake kama letu?Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?