kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,528
- 6,856
Good morning people. Ni dhahiri kabisa kwamba uchaguzi wa mwaka huu utakua mgumu sana kwa vyama vya upinzani kutokana na hulka ya Rais aliyemadarakani ya kutopenda kucheza fair.
Sote tumeona jinsi polisi na idara ya usalama wa taifa wakiipigania CCM kufa na kupona kwa kuteka, kubambikia kesi na kutesa yeyote mwenye mawazo tofauti na matakwa ya chama tawala. Hii manaake uchaguzi comes October 2020 utakuwa mgumu sana kwa vyama vya upinzani.
Tatizo lingine ni kuwa sehemu kubwa ya wananchi wanaweza wasijitokeze kupiga kura kwa kukata tamaa hii itaongeza kidonda kwwnye chumvi kuupoteza upinzani kabisa. Hii inachagizwa kwa sehemu na kilichojitokeza uchaguzi wa serikali za mitaa na rafu za CCM wakishirikiana na polisi kwenye chaguzi ndogo za ubunge na udiwani.
Umoja ni nguvu na hili CCM wasingependa litokee ndo maana wamemuwahi Comred Mbatia. Umoja ni nguvu. Unganisheni nguvu mapema mrejeshe matumaini kwa wapigakura wenu.
Hata hitaji la tume huru haliwezi fanikiwa mkiwa self isolated. Itakuwa ngumu hata kushindana na hila na dhuluma za wabobevu CCM.