Hivi kwanini kunakua na ugumu wa viongozi wa vyama vya siasa za upinzani kuungana na kuunda katiba 1 ya chama na kuweka makubaliano vibaki vyama viwili tu?
Hapo sasa naanza kuelewa maana ya vyama vingi mkuu
Kwo hiki kitu hakiwezekaniki kabisa
Sijuiii mnaelewaHapo sasa naanza kuelewa maana ya vyama vingi mkuu
Kwo hiki kitu hakiwezekaniki kabisa
Lipumba, Cheo, Mrema, Mbatia n.k unaweza kuwaita kuwa ni wapinzani?Hivi kwanini kunakua na ugumu wa viongozi wa vyama vya siasa za upinzani kuungana na kuunda katiba 1 ya chama na kuweka makubaliano vibaki vyama viwili tu?
Hawa ni makanjanja wa CCM.Lipumba, Cheo, Mrema, Mbatia n.k unaweza kuwaita kuwa ni wapinzani?
Hii haiwezi kutokea na ndani yake kuna vyama vinapandikizwaTukiungana kwa pamoja tunaweza kuichukua nchi hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tukiungana kwa pamoja tunaweza kuichukua nchi hii
Sasa utaungana nao?Hawa ni makanjanja wa CCM.
Mhhhh humu ndani kuna watu wakisikia jina Mbowe wana washwawashwa tuu, siajabu hata usiku wakiwa wamelala wanamuota tuu...hahahahahahaha.
Pole broo hata JPM nyimbo karibu zote humu ni za kusifu na kuabudu. Na kuhusu Mbowe sijawahi andika uzi kumsifu hata mara moja Ila mara nyingi wanaomwandika humu ni wanaofanya "personal attack". Hatukatai kuna mazuri Raisi amefanya Ila sio kama anatufanyia favor ila ni wajibu wake kwa nafasi aliyoiomba, sasa sifa zinazidi kama vile tunafanyiwa msaada na nikodi zetu zinazotumika. Imefika wakati tuanze kufikiri nje ya box, hata kama wewe ni mwana ccm. Nakiri naipenda chadema japo sio mwanachama wao hai, ila ccm tulishaikatia tamaa kutuvusha kwenda huko walipo wenzetu hasa kwa mfumo wao wakuigeuza nchi shamba la bibi na kujimilikisha wao hii nchi, inakera sana. Chamsingi pawe na fair group kama JPM anakubalika kama wanavyomsifia atashinda tuu hata kwenye tume huru.Hapana. UZI HUMU NI JPM. Mnalipwa kuanzisha uzi daily. Fanya uchunguzi nje ya Box. Kwanza huwa hamna hoja. Mnadandia matukio tu. Lazima mtafute namna ya kumuandika.
Mbowe kwa mtazamo Wangu hana lolote mnajikuza tu. Na kosa kubwa mnalofanya Ni kushindwa kujua mnataka Nini hasa Badala ya kusimamia sera fulani, kupongeza kwenye kustahili na kuponda Pia kwa kuonyesha njia mbadala, nyie mnakuwa kama .,, waliokosa Pa kutuliza mnaponda hata mambo ya msingi. Sijawahi kupenda Siasa but I love my country. Na hizi cheap politics za kutaka kuforce madaraka, kwa matusi na kuponda bila hoja za njia mbadala ambayo Ni down to earth and practicable. So Acha kujikuza mkuu. Ishi maisha yako.
Hapana. UZI HUMU NI JPM. Mnalipwa kuanzisha uzi daily. Fanya uchunguzi nje ya Box. Kwanza huwa hamna hoja. Mnadandia matukio tu. Lazima mtafute namna ya kumuandika.