Wapinzani unganane. Ni kweli umoja ni nguvu utengano ni udhaifu

Muungano unawezekana shida kubwa ni utashi wa watawala,Hawako tiyari leo au kesho kuleta mabadiriko sahihi ya kidemokrasia.
Vyama vingi kwao ni mtaji wa kuombea pesa IMF,WB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…