Wapinzani wa Ontario nao wameshusha bei.

lil wayne

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2016
Posts
992
Reaction score
904
ONYO: siko hapa kugombanisha, kufarakanisha

Hawa Jamaa "Dar Forex Academy" walikuwa wanatoza Kilo 5, (500,000/=) kwa kichwa kimoja, yaani zile "buku buku ziwe mia tano"! Nakumbuka kabla ya ujio wa TMT nilipata kuweka nia ya kujiingiza kwenye hii biashara, ile baada ya kuona training fee ya hawa jamaa ilibidi nijiaminishe kuwa Forex is not for me...Kutokana na kauwezo kangu ka uchumu. Nilikuwa nawaza tu jinsi ya kupata hata hiyo kilo 1 ya kueposit kama mtaji wangu ( Ingawa uwezo wa kuipata nilikuwa nao).. ila nilipogundua kuwa seminar ni kilo 5 ikanibidi niendelee na matarajio mengineyo



Inaonekana habari za TMT zimewafikia na wakatambua kuwa TMT wanatoza kilo 2. Muda mfupi baaa ya TMT kupost gharama mpya za mafunzo ya seminar nao wakaona isiwe tabu, ngoja na sisi tushushe ili twende sawa.



Bila shaka ujio wa TMT kwenye tasnia ya Forex umesaidia sana kufanya huduma hizi iwe accessible kwa watanzania wengi. Kutoka Kilo 5 mpaka Kilo 2 sio mchezo. Naamini kusingekuwa na TMT jamaa wa Dar Forex Academy wangekuwa wanatoza Kilo 6 hivi sasa!

Nawapengeza washikaji wa "Dar Forex Academy" ingawa wamechelewa. Hii itasaidia sana kuwafanya waTZ wengi waweze kuwa financially free ndani ya muda mfupi.

TMT na Dar Forex Ac endeleeni kupiga kazi ..........
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss

Eeeeeeeeh
Unajua wachawi au waganga huwa hawatajiriki si kweli au!?
Sasa wewe utatajirikaje huku unataka kumwaga damu kuungana zaidi na mishetani ikumalize kabisa?
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Mkuu naomba unigawie kandumba kidogo nami nimfaidi huyu mdudu Forex.

Inaelekea ni mtamu kuliko K.
 
Halafu naonaa hao
Kalale kuna nyaku nyaku utanyakuliwa saa hizi wewe.

Mida hii ndio mizuri nyumba ipo kimya na hivi leo nipo ndani tu.. basi ndio nondo za nayofanya zinashuka vizuri na mie kuingiza kwenye ubongo vizuri. Huku nasikiliza love songs kujikoki na kwa TV naangalia documentary..

Halafu na wewe vipeeee upo macho mida hii?
 
Mie mlinzi ndiyo kwanza kumekucha.
 
Walizani baada ya jaribio la kumchafua ndio wangefanikiwa hahahaa daaah hii nchi hii!!!

Lakini tujiulize kwanini ontario anaoneka mwizi kwa kuchaji laki mbili lakini hawa walio kuwa wana chaji laki tano wala hawaguswi!!

Hii ni vita ya kibiashara na ontario lazima ajipange sawa sawa!!!

Watapambana lakini hawatashinda!! na hii njia waliyoitumia ni ya enzi za cold war, enzi za akina gobachev, sasa hivi tuko kwenye enzi ambazo kiduku anatunishana msuli na trump bila woga...HAWA WATU WAJIPANGE UPYA!!

[HASHTAG]#TMT[/HASHTAG]
 
Nadhani kwakuwa wapinzani wake hawako hapa JF.
 
Acha uongo mkuu,,,Dar Forex Academy ilikuwepo ila chinichini,mimi nimefanyiwa mentoring bure kabisa baada ya kumtafuta Carl kipindi hicho,ila wameanza semina baada ya TMT kuanza,,na kupunguza being ni suala la kibiashara,,,,
Aisee kumbe walikua wanatuficha?

Kama sio akina ontario wala nisingejua kama kuna forex hapa duniani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…