PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
if it was that easy..eti unaingia google kusoma forex ila nashukuru umejisemea mwenyewe kuwa haujiusishi na forex so sikulaumu kwa majibu yako ya kusema utajifunzia kupitia googleMimi kama niko determined kupata kitu nitakipata ila nitatumia the most less expensive way.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Huu ulikuwa uzembe wako tu.Aisee kumbe walikua wanatuficha?
Kama sio akina ontario wala nisingejua kama kuna forex hapa duniani!!
Waje arusha tunawahitajianaefundisha sio ontario ni jamaa kutoka afrika kusini ndio fani yake hiyo!
Ni kweli unasema hivyo kwasababu hujui. Nenda pia kajifunze kuendesha gari kwa kutumia google.Kwa hiyo kufundishwa forex unalipa laki mbili?with all googles??????Kama nipo determined si ninanunua bando la 5000 tu naingia google najisomea.Watanzania wavivu jamani.Yaani wanasubiri kina Ontario wajisomee google then wao walipe laki mbili?Ama kweli usiombe kuwa deep kwenye kijiko.By the way mimi siijui Forex just because im not interested,other wise ningeingia chimbo mwenyewe.
HahahahaBiashara pekee ambayo haina loss ni "wokovu"...lol
HAHAHAHA..U MADE MY DAYMpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Kwa ela wanazoongelea watu wa forex ungekuwa umezipata usingekuwa na muda wa kutype hapa.Acha uongo mkuu,,,Dar Forex Academy ilikuwepo ila chinichini,mimi nimefanyiwa mentoring bure kabisa baada ya kumtafuta Carl kipindi hicho,ila wameanza semina baada ya TMT kuanza,,na kupunguza being ni suala la kibiashara,,,,
Hahahaha,,,kweli mkuu sina hela na ndio maana nina muda wa kutype hapa..Kwa ela wanazoongelea watu wa forex ungekuwa umezipata usingekuwa na muda wa kutype hapa.
Hawawezi TMT ni Brand kubwa tena si ya kitoto!Mi najua wapinzani wa TMT ndio wanawaharibia TMT
ugwiji wako utumie katika kuanzisha NDUMBA FOREX, ili nikuweka ndumba mbili leo soko likiwa zuri nakula ndumba 7Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.
Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo
Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!