Wapinzani wa Ontario nao wameshusha bei.

Wapinzani wa Ontario nao wameshusha bei.

Mimi kama niko determined kupata kitu nitakipata ila nitatumia the most less expensive way.
if it was that easy..eti unaingia google kusoma forex ila nashukuru umejisemea mwenyewe kuwa haujiusishi na forex so sikulaumu kwa majibu yako ya kusema utajifunzia kupitia google

Nb: Raha ya ngoma uingie uicheze mwenyewe usiishie kusimuliwa
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwahiyo inaonesha hata maskendo ya kuwachafua hawa TMT inaweza kuwa mpango wa hawa ili nao wapate soko

Ni upuuzi sana kuwachafulia wakina Ontario forex unahitaji kujituma ila zaid unahitaji kusoma ili uwe vizur kuweza kujua analysis

Lakin kubali au ukatae kwenye biashara hasara zipo na faida zipo pia achen kuwachafua TMT
 
Kwa hiyo kufundishwa forex unalipa laki mbili?with all googles??????Kama nipo determined si ninanunua bando la 5000 tu naingia google najisomea.Watanzania wavivu jamani.Yaani wanasubiri kina Ontario wajisomee google then wao walipe laki mbili?Ama kweli usiombe kuwa deep kwenye kijiko.By the way mimi siijui Forex just because im not interested,other wise ningeingia chimbo mwenyewe.
Ni kweli unasema hivyo kwasababu hujui. Nenda pia kajifunze kuendesha gari kwa kutumia google.
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
HAHAHAHA..U MADE MY DAY
 
Sasa kwaio unatakaje sasa...kila mtu anayetaka kupata hio elimu atachagua sehemu anayoitaka
 
Acha uongo mkuu,,,Dar Forex Academy ilikuwepo ila chinichini,mimi nimefanyiwa mentoring bure kabisa baada ya kumtafuta Carl kipindi hicho,ila wameanza semina baada ya TMT kuanza,,na kupunguza being ni suala la kibiashara,,,,
Kwa ela wanazoongelea watu wa forex ungekuwa umezipata usingekuwa na muda wa kutype hapa.
 
Mi najua wapinzani wa TMT ndio wanawaharibia TMT
 
huo
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
ugwiji wako utumie katika kuanzisha NDUMBA FOREX, ili nikuweka ndumba mbili leo soko likiwa zuri nakula ndumba 7
 
Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!
 
Biashara bado ipo?

Back
Top Bottom