[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji3]Nimestuka mpaka kaGrants kangu kamemwagika. Hao viumbe uwe unawachekea mchana bhana. Ona sasa umenilazimisha niongeze chupa nyingine ...
mshana coco member tu mwenzangu sina vinasaba naye.Daby upoje na Coco [emoji35] [emoji35] [emoji35] View attachment 674978
Kwa taarifa nilizopata kutoka kwa mtoa mada zao zina fire Extinguisher na helmet za vyuma.Ivi mentor au hao walimu wanautajiri wa kiasi gn! Je na wao acc zao hupungua!?
Asavali... Poa..mshana coco member tu mwenzangu sina vinasaba naye.
Acha nikalale kabisa [emoji125] [emoji125]
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss

Upo vizuri kutetea kitumbua.Walizani baada ya jaribio la kumchafua ndio wangefanikiwa hahahaa daaah hii nchi hii!!!
Lakini tujiulize kwanini ontario anaoneka mwizi kwa kuchaji laki mbili lakini hawa walio kuwa wana chaji laki tano wala hawaguswi!!
Hii ni vita ya kibiashara na ontario lazima ajipange sawa sawa!!!
Watapambana lakini hawatashinda!! na hii njia waliyoitumia ni ya enzi za cold war, enzi za akina gobachev, sasa hivi tuko kwenye enzi ambazo kiduku anatunishana msuli na trump bila woga...HAWA WATU WAJIPANGE UPYA!!
[HASHTAG]#TMT[/HASHTAG]
Acha uongo mkuu,,,Dar Forex Academy ilikuwepo ila chinichini,mimi nimefanyiwa mentoring bure kabisa baada ya kumtafuta Carl kipindi hicho,ila wameanza semina baada ya TMT kuanza,,na kupunguza being ni suala la kibiashara,,,,
Aisee kumbe walikua wanatuficha?
Kama sio akina ontario wala nisingejua kama kuna forex hapa duniani!!
Dada nakutaka,hapo kifuani siyo haba!!Eeeeeeeeh
Unajua wachawi au waganga huwa hawatajiriki si kweli au!?
Sasa wewe utatajirikaje huku unataka kumwaga damu kuungana zaidi na mishetani ikumalize kabisa?
Walizani baada ya jaribio la kumchafua ndio wangefanikiwa hahahaa daaah hii nchi hii!!!
Lakini tujiulize kwanini ontario anaoneka mwizi kwa kuchaji laki mbili lakini hawa walio kuwa wana chaji laki tano wala hawaguswi!!
Hii ni vita ya kibiashara na ontario lazima ajipange sawa sawa!!!
Watapambana lakini hawatashinda!! na hii njia waliyoitumia ni ya enzi za cold war, enzi za akina gobachev, sasa hivi tuko kwenye enzi ambazo kiduku anatunishana msuli na trump bila woga...HAWA WATU WAJIPANGE UPYA!!
[HASHTAG]#TMT[/HASHTAG]
Mie na wewe tunaheshimiana fika na hili unalijua. Nitaanzaje kukudanganya mkataba utaisha siku za karibuni kama kwako kibarua kipo fanya mambo.
Kweli kabisa mkuuMpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss