[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Dah hayo mambo yakizidi ni tafaruku. Sijui huwa wanadhan wakinena basi mahitaji yatashuka kutoka juuInayo maana nakumbuka kuna dada tulisoma nae muda wa kwenda kujisomea alikuwa anaenda maporini kunena kwa lugha at the end alidisco na wanenaji wenzake sisi tulipeta
Mkuu hivi haiwezekani kutumia ndumba kwenye ATM ikatoa mihela!?Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Hapana hiyo ni wrong way.. Ni ndefu sanaMkuu hivi haiwezekani kutumia ndumba kwenye ATM ikatoa mihela!?
Pamoja umahili wako wa mambo ya ndumba lakini kama haujui kitu utapoteza tu pesa za mzungu hazitoki kirahisiMpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Hivi rafiki yako Rais2020 yuko wapi mkuu? Au nayo ile ilikuwa Id yako?Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Wako smart and organized,,,,ofisi zao zipo tanzanite towers,,nahisi target market yao ndio iliwafanya waweke laki tanoHahahahahaaa!!! Mbona ukusema mapema mkuu!!!
Mm nilijua mapema hilo genge la wahuni wachache pumzi fupi manina
Mkuu unaleta uganga kwenye kuprint pesa? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Hapa Umemaliza mkuu. [emoji122]Forex haina shida, shida ni wasomaji na wafundishaji kuwapa matumaini makubwa
Hakuna kinachoshindikanaMkuu unaleta uganga kwenye kuprint pesa? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee nina ID moja tuu kama ni yangu naomba iunganishweHivi rafiki yako Rais2020 yuko wapi mkuu? Au nayo ile ilikuwa Id yako?
Katika eneo la Ndumba, najitolea Free consultation services!Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Katika eneo la Ndumba, najitolea Free consultation services!
Mkuu,utaishia kupigwa pesa,,tafuta mentor na wengi hufanya bure tu,kisha tafuta vitabu,YouTube videos na ujiunge telegram groups za mbele,hapo usipoelewa kitu unauliza kisha unajibiwa,,,its the long way but so profitable and rightNahitaji mtaalam wa forex jamani anaepatikana mwanza huku nipate shule kwa gharama yoyote .please nipo serious kama yupo karibu pm.
Brooo shikamoo!!!Nilijifunzaga haya mambo kule j/burg ila sikuzingatiaMpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss