Wapinzani wa Ontario nao wameshusha bei.

Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inayo maana nakumbuka kuna dada tulisoma nae muda wa kwenda kujisomea alikuwa anaenda maporini kunena kwa lugha at the end alidisco na wanenaji wenzake sisi tulipeta
Dah hayo mambo yakizidi ni tafaruku. Sijui huwa wanadhan wakinena basi mahitaji yatashuka kutoka juu
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Mkuu hivi haiwezekani kutumia ndumba kwenye ATM ikatoa mihela!?
 
😀😀
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Pamoja umahili wako wa mambo ya ndumba lakini kama haujui kitu utapoteza tu pesa za mzungu hazitoki kirahisi
 
27eb9dfcf9e13436f1f4352e557491d8.jpg
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Hivi rafiki yako Rais2020 yuko wapi mkuu? Au nayo ile ilikuwa Id yako?
 
acha chit_chat weka chart, shusha analysis, soko linaamka usiku mnene wadau wapige mapene!
 
Nahitaji mtaalam wa forex jamani anaepatikana mwanza huku nipate shule kwa gharama yoyote .please nipo serious kama yupo karibu pm.
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Mkuu unaleta uganga kwenye kuprint pesa? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa hiyo kufundishwa forex unalipa laki mbili?with all googles??????Kama nipo determined si ninanunua bando la 5000 tu naingia google najisomea.Watanzania wavivu jamani.Yaani wanasubiri kina Ontario wajisomee google then wao walipe laki mbili?Ama kweli usiombe kuwa deep kwenye kijiko.By the way mimi siijui Forex just because im not interested,other wise ningeingia chimbo mwenyewe.
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Katika eneo la Ndumba, najitolea Free consultation services!
 
Nahitaji mtaalam wa forex jamani anaepatikana mwanza huku nipate shule kwa gharama yoyote .please nipo serious kama yupo karibu pm.
Mkuu,utaishia kupigwa pesa,,tafuta mentor na wengi hufanya bure tu,kisha tafuta vitabu,YouTube videos na ujiunge telegram groups za mbele,hapo usipoelewa kitu unauliza kisha unajibiwa,,,its the long way but so profitable and right
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Brooo shikamoo!!!Nilijifunzaga haya mambo kule j/burg ila sikuzingatia
 
Back
Top Bottom