Wapinzani wa Ontario nao wameshusha bei.

..Kuna mambo mengine mpaka ufundishwe dada kama ingekuwa hivyo kusingekuwa na haja ya watu kwenda kusoma chuo na kufundishwa darasani na maprofesa watu wangejisomea GOOGLE na kusubiri mitihani maana materials za masomo yote ukiingia GOOGLE unapata!
 
Huyo Ontario taaluma yake ni nini?
 
Una uhakika ndo fani yake?YEYE HUYO UNAYESEMA FANI YAKE KAJISOMEA GOOGLE NA VITABU,kakamata fursa.KNOWLEDGE IS POWER.
GOOGLE utajisomea kila kitu utaweza?.....GOOGLE kumejaa matapeli scammers ukijisomea tu bila mungozo utajikuta umengukia kwa matapeli wanakuibia....lazima upate mwongozo wa watu wanaofanya hii kitu la sivyo utaangukia kwenye mikono ya matapeli
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Hahaaaa, uwiii!
 
Lazima ujue kuchuja ili kutambua chuya na mchele.
 
wenye uwezzo wa kuchambua ni wachache sana.....wengi wao wanaolalamika huku ni uvivu wa kusoma vitabu na kufanya analysis...kitabu kimoja cha forex kina page zaidi ya 350...na viko vitabu zaidi ya 50....hapa JF kuna watu wakiona uzi mrefu wenye page moja tu wanalalamika. leo umwambie asome kitabu chenye page 300 ataweza?....mimi nimejifunza forex google sijaenda training na nimejisomea mwenyewe vitabu zaidi ya 10....nafanya forex bila matatizo yoyote wanaolia lia huku ni uvivu wao wa kutafuta knowledge
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
daaah ambiereee tunahitajika kwenda kwa mzee kirenga kwanza atupe baraka zake
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Napita Kwa kuelea hewan na ungo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Kwa ndumba Utaunguza akaunti mkuu [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…