Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mshiko nje nje ukimakinikaBrooo shikamoo!!!Nilijifunzaga haya mambo kule j/burg ila sikuzingatia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshiko nje nje ukimakinikaBrooo shikamoo!!!Nilijifunzaga haya mambo kule j/burg ila sikuzingatia
..Kuna mambo mengine mpaka ufundishwe dada kama ingekuwa hivyo kusingekuwa na haja ya watu kwenda kusoma chuo na kufundishwa darasani na maprofesa watu wangejisomea GOOGLE na kusubiri mitihani maana materials za masomo yote ukiingia GOOGLE unapata!Kwa hiyo kufundishwa forex unalipa laki mbili?with all googles??????Kama nipo determined si ninanunua bando la 5000 tu naingia google najisomea.Watanzania wavivu jamani.Yaani wanasubiri kina Ontario wajisomee google then wao walipe laki mbili?Ama kweli usiombe kuwa deep kwenye kijiko.By the way mimi siijui Forex just because im not interested,other wise ningeingia chimbo mwenyewe.
It's not easy brooMshiko nje nje ukimakinika
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu naomba unigawie kandumba kidogo nami nimfaidi huyu mdudu Forex.
Inaelekea ni mtamu kuliko K.
Natafuta nauli niende Nigeria, nasikia jamaa wapi vizuri sana kwenye haya mambo uko vitu kama tatu mzuka, biko, betting uvikuti ukiweka utaishia kupigwa daily nasikia watu wanalala makaburini ili wabashiri tu[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kakuambia kweli
Huyo Ontario taaluma yake ni nini?..Kuna mambo mengine mpaka ufundishwe dada kama ingekuwa hivyo kusingekuwa na haja ya watu kwenda kusoma chuo na kufundishwa darasani na maprofesa watu wangejisomea GOOGLE na kusubiri mitihani maana materials za masomo yote ukiingia GOOGLE unapata!
Ote mbeeMkeo anakuona ujue
anaefundisha sio ontario ni jamaa kutoka afrika kusini ndio fani yake hiyo!Huyo Ontario taaluma yake ni nini?
Una uhakika ndo fani yake?YEYE HUYO UNAYESEMA FANI YAKE KAJISOMEA GOOGLE NA VITABU,kakamata fursa.KNOWLEDGE IS POWER.anaefundisha sio ontario ni jamaa kutoka afrika kusini ndio fani yake hiyo!
GOOGLE utajisomea kila kitu utaweza?.....GOOGLE kumejaa matapeli scammers ukijisomea tu bila mungozo utajikuta umengukia kwa matapeli wanakuibia....lazima upate mwongozo wa watu wanaofanya hii kitu la sivyo utaangukia kwenye mikono ya matapeliUna uhakika ndo fani yake?YEYE HUYO UNAYESEMA FANI YAKE KAJISOMEA GOOGLE NA VITABU,kakamata fursa.KNOWLEDGE IS POWER.
Hahaaaa, uwiii!Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Lazima ujue kuchuja ili kutambua chuya na mchele.GOOGLE utajisomea kila kitu utaweza?.....GOOGLE kumejaa matapeli scammers ukijisomea tu bila mungozo utajikuta umengukia kwa matapeli wanakuibia....lazima upate mwongozo wa watu wanaofanya hii kitu la sivyo utaangukia kwenye mikono ya matapeli
wenye uwezzo wa kuchambua ni wachache sana.....wengi wao wanaolalamika huku ni uvivu wa kusoma vitabu na kufanya analysis...kitabu kimoja cha forex kina page zaidi ya 350...na viko vitabu zaidi ya 50....hapa JF kuna watu wakiona uzi mrefu wenye page moja tu wanalalamika. leo umwambie asome kitabu chenye page 300 ataweza?....mimi nimejifunza forex google sijaenda training na nimejisomea mwenyewe vitabu zaidi ya 10....nafanya forex bila matatizo yoyote wanaolia lia huku ni uvivu wao wa kutafuta knowledgeLazima ujue kuchuja ili kutambua chuya na mchele.
daaah ambiereee tunahitajika kwenda kwa mzee kirenga kwanza atupe baraka zakeMpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Napita Kwa kuelea hewan na ungo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss
Kwa ndumba Utaunguza akaunti mkuu [emoji2] [emoji2]Mpaka hili sakata likiisha nitakuwa nimeshakuwa gwiji la forex bila kulipia ada zaidi ya bundle
Ila nataka nianze ku trade kwa kutumia ndumba sijui itawezekana!? Sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa loss