S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 3,626 Reaction score 3,869 Apr 5, 2023 #21 Hana impact yoyote huyo. Halafu msimpangie Rais.
Yimakatso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 7,060 Reaction score 9,468 Apr 5, 2023 #22 Kulwa Jilala said: Hata Samia ni masalia ya Magufuli Click to expand... Alijitenga na ushweitwan.
kirengased JF-Expert Member Joined Jan 10, 2016 Posts 6,348 Reaction score 7,058 Apr 5, 2023 #23 polepole anapenda jinyenyekeza kwa viongozi mpaka anajishrinkisha na kuinama ka ausigelo wakiskuma ndomana anapewa vijikazi. Akianza kujinyenyekeza hapa utaona aibu wewe
polepole anapenda jinyenyekeza kwa viongozi mpaka anajishrinkisha na kuinama ka ausigelo wakiskuma ndomana anapewa vijikazi. Akianza kujinyenyekeza hapa utaona aibu wewe