Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kupitia Wasafi Fm, wanaripoti kuwa wapinzani wa Simba katika mchezo wa kesho Bravo bado hawajafika nchini.
Kitaalam walipaswa wafike jana mapema na kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa ili wauzoee uwanja. Sasa mpaka muda huu bado hawajawasili.
Inasemekana wanaweza kuwasili saa 9:00 mchana, masaa takribani 24 kabla ya mtanange huo.
Inaonekanaa Kombe la Shirikisho ni kama Mashindano ya Umisetta vilabu havina usiriaz!