Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
🤔🤔🤔🤔🤔Wameshatoa taarifa watafila Leo saa 9 alasiri
Uwanja wanaujua vizuri si juzi tu walicheza na coastalKupitia Wasafi Fm, wanaripoti kuwa wapinzani wa Simba katika mchezo wa kesho Bravo bado hawajafika nchini.
Kitaalam walipaswa wafike jana mapema na kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa ili wauzoee uwanja. Sasa mpaka muda huu bado hawajawasili.
Inasemekana wanaweza kuwasili saa 9:00 mchana, masaa takribani 24 kabla ya mtanange huo.
Inaonekanaa Kombe la Shirikisho ni kama Mashindano ya Umisetta vilabu havina usiriaz!
Wanalo faili la Simba na wanajua michezo yao ya nje ya uwanja awajafanya ivyo kwa bahati MBAYA ingawa ni timu ndogo kama majimaji fc ya songea wanakuja kwa tahadhali zoteKupitia Wasafi Fm, wanaripoti kuwa wapinzani wa Simba katika mchezo wa kesho Bravo bado hawajafika nchini.
Kitaalam walipaswa wafike jana mapema na kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa ili wauzoee uwanja. Sasa mpaka muda huu bado hawajawasili.
Inasemekana wanaweza kuwasili saa 9:00 mchana, masaa takribani 24 kabla ya mtanange huo.
Inaonekanaa Kombe la Shirikisho ni kama Mashindano ya Umisetta vilabu havina usiriaz!
Washenzi hao Makolo msimu uliopita walitupulizia midude yao tukashtuka mapema😀😀😀Ao jamaa Wana faili lote la Simba usifikiri wapuuzi.
Wanacheza na akili za nje ya uwanja.
Shida watapata kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.
Na msimu huu.mkaamua mlipize kisasi kwa kujidunga dawa za kuongeza nguvu aka mihadarati?Washenzi hao Makolo msimu uliopita walitupulizia midude yao tukashtuka mapema[emoji3][emoji3][emoji3]
Faili walinunua stationary ipi hapo dar..Wanalo faili la Simba na wanajua michezo yao ya nje ya uwanja awajafanya ivyo kwa bahati MBAYA ingawa ni timu ndogo kama majimaji fc ya songea wanakuja kwa tahadhali zote
African thoughtsBila shaka wamejificha Avic Town .
We Uto unaitwa ghetto na Tabora United.Kupitia Wasafi Fm, wanaripoti kuwa wapinzani wa Simba katika mchezo wa kesho Bravo bado hawajafika nchini.
Kitaalam walipaswa wafike jana mapema na kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa ili wauzoee uwanja. Sasa mpaka muda huu bado hawajawasili.
Inasemekana wanaweza kuwasili saa 9:00 mchana, masaa takribani 24 kabla ya mtanange huo.
Inaonekanaa Kombe la Shirikisho ni kama Mashindano ya Umisetta vilabu havina usiriaz!
Kuna timu mbili zilicheza na Yanga, mechi zake za nyumbani zilikuwa hapa hapa Bongo. Sijajua yalikuwa ni mashindano ganiInaonekanaa Kombe la Shirikisho ni kama Mashindano ya Umisetta vilabu havina usiriaz!
Pole kwao....Wameshatoa taarifa watafika Leo saa 9 alasiri na hawatafanya mazoezi Bali watakaguq uwanja
Wapo avic wamehifadhiwa na gongo wazi wanapewa maelekezo!Kupitia Wasafi Fm, wanaripoti kuwa wapinzani wa Simba katika mchezo wa kesho Bravo bado hawajafika nchini.
Kitaalam walipaswa wafike jana mapema na kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa ili wauzoee uwanja. Sasa mpaka muda huu bado hawajawasili.
Inasemekana wanaweza kuwasili saa 9:00 mchana, masaa takribani 24 kabla ya mtanange huo.
Inaonekanaa Kombe la Shirikisho ni kama Mashindano ya Umisetta vilabu havina usiriaz!
Bado hujasema...Ao jamaa Wana faili lote la Simba usifikiri wapuuzi.
Wanacheza na akili za nje ya uwanja.
Shida watapata kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.
Utopolo (kidimbwi) stationary...Faili walinunua stationary ipi hapo dar..