Pre GE2025 Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiongozi. Hakuna upinzani ambao ni legelege.......... Jiulize nini kilipelekea upinzani almost usiwepo bungeni?! Majibu unayo! Mi si mtaalam sana na masuala ya katiba, ila katiba na Sheria zake(za uchaguzi ziko biased sana). Fikiria ikiwa binadamu anavunja katiba, ni nani ataheshimu katiba, hata hii iliyopo?!
 
Paschal anajitoa ufahamu jana kaleta bandiko hapa la katiba na tume huru ya uchaguzi leo anasema hakuna upinzani
 
Hii mada na anayoyaongea kwa sasa hapa jf imenifanya mchukia uyu ndugu
 
Huyu pasco ni kanjanja Hana hoja, atuambie kwa mazingira yalivyo ya sasa na Sheria zetu za uchaguzi kunawezekanaje kukawa na uchaguzi huru na haki, sio maelezo mengi na mifano bila kutuambia izo strategy
 
Hivi kwani shida ni watu? Watu si wanapiga kura upinzani na kura zinageuzwa? Wapinzani si wanagombea kisha wanawekewa mizengwe ya kuenguliwa? Bado unasema shida ni watu? Mimi namuelewa Lissu anavyosema ili vyama vya upinzani viende sawa na CCM basi na wao wamiliki mitutu ya bunduki. Na kwa jinsi hali ilivyo sasa hiyo ndiyo njia pekee kukabiliana na CCM.

Walienda kwenye maridhiano CCM ikaleta usanii wa kubadili jina la tume na kusema tayari wametekeleza maridhiano. Unataka nini zaidi ya wao pia kumiliki mitutu ili waende Bega kwa Bega? Hiyo ni njia iliyobaki ya kuishurutisha CCM hakuna njia nyingine.

Pia inatakiwa CCM waogope kufanya uharamia.
 
Jana umemponda be mkubwa leo unajifanya kusawazisha pascally huna tofauti na mwijaku mlamba miguu ili ale ashibe na familia yake
 
Warioba kutengeneza katiba kawa mshirikina sababu upinzani wake hupo tofauti na katiba ya zamani inayofanya ccm kudumu.
Teuzi kesho kaka pasco utapata.
When you try entering into a lady's heart without money
 
We ni mjinga sana chadema wamefanya uchaguzi wa ndani kura zimezahesabiwa kila mtu ameona alafu unasema hamna demokrasia wewe ni zombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…