ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
H
Hawezi hata siku moja.yeye ni bingwa wa kulalamika na kuisifu ccmBro ..
Rejea Uchaguz wa 2020(uchaguzi mkuu) na 2024 (serikal za mitaa),yaliyotendeka..
Ungeshari strategy ipi hapo tuwe na uchaguz huru na haki?
Mbona hauzungumzii mapunguf ya kikatiba na tume ya uchaguzi?
Mbona hauzungumzii kata kata ya wagombea wa upanzani tu na sio wa Ccm?
Kwakuwa wewe pia ni mtanzania na naamini umepita darasani na una nia njema kabisa na chi yako,embu walau tupe briefly baadhi ya "Strategy" za kufanya au kuingia kwenye chaguzi ilihali katiba na tume ya uchaguzi ziko au zinabaki kama zilivyo..
Utakuwa umeitendea haki elimu yako, nchi na familia yako.