...Aisee Taifa si ndiyo watu wenyewe?? sasa hebu fikiria Taifa lenye watu wasiyo na Vichwa wala miguu.... au anaye baka naye abakwe,huo uchumi una-priorities gani tena?Taifa lisilokuwa na priorities... wote tunafahamu tuna matatizo ya uchumi tunaanza kupoteza muda na vitu visivyokuwa na vichwa wala miguu....
Hili jambo tena litawachukulia muda wapinzani...maskini ukikosa strategy kila linalotokea unalichukua.
Ningekuwa Mh.Pinda... najiandaa kujibu hilo swali la upinzani kwa natafuta hadithi nzuri na kuwachekesha wabunge tu... maana wakicheka watasahau kila kitu.....
Ahhhhrrr! I am lost, amesema hakusema, alimaanisha hakumaanisha pleaseee! Mheshimiwa Zitto, sheria inasema nini kiongozi akiropoka? Hebu tuweke sawa mkuu kwamba na akiomba radhi inakuwaje?
Halafu nakuomba niko chini ya miguu yako, Je Pinda amesema au hakusema please?
Ilikuwa hivi.
1. Alipoulizwa swali. Hakulijibu kwanza. Alianza kwa kutoa background ya ziara nzima ya lake zone. ... Maelezo haya yalijenga feelings na emotions kwa wabunge. Na Ninafikiri... alifanikuwa kuwaondoa wabunge kwenye fikra zao na kufanya wawe kwenye emotions kama yeye...
2. Then akaja kwenye issue yenyewe...alipoanzatu kuijadili....akakwama kwa srtong feelings...akaomba samahani...kalia...akamaliza kwa sekunde chance. Akaendela kusema kwa mtu amabaye hajifika huko kwenye matukio hawezi kuipata hali kamili...na kuwa alitoa yale matamshi (Hakuyarudia)...KUTISHIA TU. Na akaomba msamaha kuwa kama kafanya kosa Mungu amsaidie....Hakurudia alichosema. Na hakuomba msamaha kwa bunge au...
3. In a way..aliomba msamaha kwa Mungu...!!!
4. Baada ya Pale Hamad akasimama.... Hali ya Baba Mkuu wa Nyumba kulia ..ilimtisha kidogo ...nafikiri naye akanza kufikiri kwa feelings kidogo...but he managed to say ..Pamoja na mazuri yote hayoo ..Uongozi wa sheria ni vema ufuatwe.....
5. Sijui Wapinzani walijiiadaa Kufanyia nini swali walilouliza na sijui kuwa kama ndicho walichofanya baada ya Kujibiwa hoja yao kwa kiliocha hisia kali.
Lakini PM anahitaji to learn how to work with his strong emotions....vinginevyo hata huko mbele ya safari .. .
Ni kweli Waziri Mkuu amelia. Lakini amelilia nini? Anajua madhara ya kuvunja Katiba na hivyo anapaswa ama kujiuzulu au kuvuliwa Uwaziri Mkuu. Alikuwa analilia Uwaziri Mkuu......... Hakuwa analilia Albino. Kama angekuwa analilia Albino, angelia huko ziarani na sio Bungeni alipoulizwa swali.
I like Pinda, but i can never ever entertain lawlessness. This is a constitutional Country, Pinda invites anarchy. We can not allow that. Next is a special motion to ask Pinda to restate what he said. What exactly did he say about those who killed Albinos.
Leo kashindwa kakiri kiaina. We want him to say in Parliament, to restate his stand so that a no confidence process initiated.
Tusithubutu kuruhusu viongozi kuropoka. We will be doing disservice to the country and invite killings, extra judicial killings. Viongozi wawajibike kwa maneno yao, kwa vitendo vyao na kutotenda kwao (words, actions and inactions)
Totally agree.
While i think Pinda's statement is not beffiting a prime minister, i think these people are overeacting.
Hoja imeshakuwa Nzito. We need a tape here ambayo inaeleza nini Waziri Mkuu alisema. Wote hapa tunashabikia jambo kwa kulisikia bila ya kuwa na usahihi wa habari yenyewe.
Pinda alizungmza Nini? We need a tape na hata Wewe ndugu yangu Kabwe Zitto Zuberi you can't judge a Person without kuwa na Ushahidi of what he said.
Mpaka sasa nasimamia kwenye upande wa Waziri Mkuu. Waziri Mkuu hana kosa hapa mpaka tutakapopata Tape!
Nimetafakari sana nafasi ya Pinda na Mkono wa wezi wa nchi hii na sasa naungana na wazo la Mzee Mwanakajiji. Mie nitatoa TSH 50,000 kwa yeyote atakeyeniletea tape!
Mwisho kwako zitto, Nchi inaelekea kukumbwa na janga la Njaa, Muulize PM ana Mpango gani na hilo!
I NEED A TAPE VERY SOON
Kama unayo niandike mkomboziufisadi-at-yahoo-dot-co-dot-uk
Gembe, ikiwezekana umwombe msamaha Mkjj kabla ya kumuunga mkono 🙂 Nafikiri kufanya hivyo baada ya yale uliyoyasema hapa jamvini litakuwa jambo la busara kwa mtu makini kama wewe. Kwa sababu ume-derail effort zake kupata tape katika wakati mwafaka, lakini baada ya kuona uko-cornered (au kambi yako), umebadilisha msimamo ghafla.Mzee Mwanakijiji,
KWa taarifa nilizo nazo ni kuwa Mwananchi na TAnzania Daima walimnukuu vibaya Waziri Mkuu,I mean wameelewa vibaya kauli aliyosema nakwa maana nyingine walikimblia kusema jambo la kufikirika kwanza.
Waziri mkuu alisema kuwa ili kukomesha mauaji ya Malbino unaweza tumia sheria Mkononi bila kusubiri mahakama.Sheria mknoni siyo kuua mtu ila hata kumkamata mtu ni kujichukulia sheria mkononi.
Naungana na maneno ya Mkapa aliyowahi kuyasema siku moja,Tanzania ya sasa imejaa watu wanopenda siasa za chuki,wanaweza eneza jambo fulani ili mtu flani achukiwe na Jamii hata akiwa ni mwema.
Na siku zote nimekuwa nikionya kuhusiana na Hili.Mwanakijiji na wewe unatak kukubali kutumika kwa hili kama mtaji?Na hii ndiyo sababu kubwa ya Watanzania kutochagua wapinzani hata kama CCM imewachosha..
Habari hiyo ukiipata kwa pesa nyingi itakusaidia nini?Una lengo gani?na kwa faida ya nani mpaka utumie pesa nyingi kuiasi hicho?ina mana Huwa unanunu Habari?
Mwanakijiji,
Umeamua kuendeleza jambo lisilo na ukweli wowote.Nilikuonya asubuhi ila unaendelea tena kwa staili mpya,ulitaka kutumia pesa kupata habari ukashindwa..kwa faida ya nani sasa.?tujadili inshu za maana na siyo hili jambo lisilo na manufaa
Kuna tatizo la waandishi wetu tulio nao nyumbani.wanakurupuka wakisikia neno moja tu .
Mhe. Pinda hakusema maneno ya gazeti la Mwananchi
Waziri mkuu alisema kuwa ili kukomesha mauaji ya Malbino unaweza tumia sheria Mkononi bila kusubiri mahakama.Sheria mknoni siyo kuua mtu ila hata kumkamata mtu ni kujichukulia sheria mkononi.
Naungana na maneno ya Mkapa aliyowahi kuyasema siku moja,Tanzania ya sasa imejaa watu wanopenda siasa za chuki,wanaweza eneza jambo fulani ili mtu flani achukiwe na Jamii hata akiwa ni mwema.
Na siku zote nimekuwa nikionya kuhusiana na Hili.Mwanakijiji na wewe unatak kukubali kutumika kwa hili kama mtaji?Na hii ndiyo sababu kubwa ya Watanzania kutochagua wapinzani hata kama CCM imewachosha..
Habari hiyo ukiipata kwa pesa nyingi itakusaidia nini?Una lengo gani?na kwa faida ya nani mpaka utumie pesa nyingi kuiasi hicho?ina mana Huwa unanunu Habari?
Wapinzani wanaofikiri statement ya Waziri Pinda ina utata wanafikra mbovu na mgando. Hivi hawaoni kuua viumbe kwa ukatili kama wanakata miti wao ndio wanavunja katiba. wapinzani tafuta sera ya maendeleo ACHA KULUMBANA KWA MABO YALIYO WAZI.
wewe unataka sh. Ngapi?Pandisha dau Gembe, naweza kukutumia tape... 🙂 Take care.
SteveD.
wewe unataka sh. Ngapi?
Mie siwezi kumuomba msamaha mtu Mzee kama Mwanakijiji!Mie mara ya kwanza nilikuwa nampinga sababu aliendeleza uhalisia wa jambo wakati hata Tape hana.Na mie baaada ya kuona speculations zimezidi...Naona ni bora na Mimi nipate Tape nisikie alichosema Waziri Mkuu
Wapinzani wa Tanzania kiboko, inaonekana wanakaa wanasubiria nani achemshe wamlime(IMHO).
I doubt kama PM amekosea lets see an example in Kenya...what happened to Mungiki? and what happened to Robbers(majambazi) and thieves? Do you know what Hon. Michuki ordered the Police to do.... He said "Shoot to KILL" Mi nadhani PM alichokisema ni sahihi kwani this Albino killing has gone beyond hiyo mnayoita Katiba!!! Its all bullshit!!
Let the Albino killers die and they should die mercilessly!!!
I'm in support of Prime Ministers in this matter!!!
Lets face it life is not fair to our fellow human beings just because they are disabled!!.... FIGHT AGAINST ALBINO KILLINGS AT WHATEVER COST....
Taifa lisilokuwa na priorities... wote tunafahamu tuna matatizo ya uchumi tunaanza kupoteza muda na vitu visivyokuwa na vichwa wala miguu....
Hili jambo tena litawachukulia muda wapinzani...maskini ukikosa strategy kila linalotokea unalichukua.
Ningekuwa Mh.Pinda... najiandaa kujibu hilo swali la upinzani kwa natafuta hadithi nzuri na kuwachekesha wabunge tu... maana wakicheka watasahau kila kitu.....
(Ikumbuke just naye alilaumiwa pia na wanaharakati wa haki za binadamu)...... Looks like these guys are on the same line isipokuwa huyu mwingine aliamua kuwa a bit diplomatic.