Wapinzani walidhani ripoti ya CAG itawapaisha lakini wameambulia patupu. Sasa wanatakiwa wasiwe wanakurupuka

WaTz wameshawapotezea sasa hivi wapinzani wameamua kiwa bize na salata la harmonize
 
Tanzania hakuna Wapinzani wabunge WA CCM wamegawanyika wanapondana wenyewe Kwa wenyewe.
 
Unatumia Akili cha Kichaa wewe
 
Mleta mada, nilidhani utasema CAG kasema uongo! Kumbe kwako unadhani kukosekana kwa washika bango dhidi ya ripoti kutoka CCM wanaopata hasara ni wapinzani.

Wanaopata hasara ni watanzania, ukiwemo na wewe.
 
Kuna limbukeni fulani kupata CHANJO tu imekuwa matangazo.
 
Maguful's legacy is cannot be effectively affected by REPORT UCHWARA YA CAG. Hata wafanyaje kumfuta Magu kwa watz waliowengi ni ngumu mno. Magufuli hakubuika from no where, ana strong, long, solid and well-built history of hardworking and highly patriotic after Nyerere.
Washenzi wachache tu hawana hata punje ya kuwalinganisha na Magu. Kukosa vyeo kwao kipindi cha utawala na kuwekwa mguu sawa kwao, wasituchoshe. They will never succeed. Halafu jamaa hawa hawajui zama zimeshabadilika, kutaka kuleta zama za Msoga, ni ngumu sana kwasasa, watu werevu sana siku hizi na wanajua kukonekiti doti. Walikuwa wanatest mitambo yao, Ila imefeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…