Wapinzani walidhani ripoti ya CAG itawapaisha lakini wameambulia patupu. Sasa wanatakiwa wasiwe wanakurupuka

Mihuli ya itikadi za Magufuli haiwezi futika mioyoni mwa watanzania tabaka la chini ambao ni 90% ya watanzania wote na matajiri 4.3% wapendao haki mpaka mimi na wewe unsesoma komenti hii tufe!
Bwashee tumechoka kusikia mapambio dhidi ya marehemu ambae kwa sasa anachezea vitasa huko kutoka kwa kiongozi mkuu wa malaika! Acha kuwaza mambo ya nyakati zilizopita. Sukuma gang mmebaki midomo wazi hamuamini kama Mungu ni mkuu kiasi hiki!!!
 
Kwani wapinzani ndiyo walimpa kazi cag ya kuaudit idara za serikali? CAG kafanya kazi yake ya kitaalam. Kama hamuiamini mumfute kazi mumweke mwingine. Nadhani tuamini wataalam. Isitoshe ripoti kama hii si mara ya kwanza.
 
Mihuli ya itikadi za Magufuli haiwezi futika mioyoni mwa watanzania tabaka la chini ambao ni 90% ya watanzania wote na matajiri 4.3% wapendao haki mpaka mimi na wewe unsesoma komenti hii tufe!
Akili za hivi ni dhalili sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…