Tetesi: Wapinzani walionunuliwa na Polepole kuanza kuanikwa muda wowote

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Vita ya "wahuni" na Kiroboto bado inaendelea. Upande wa "wahuni" kwa sasa umevuta pumzi baada ya mshale uliorushwa na Bulembo.

Taarifa zinasema kwamba upande unasikilizia kama mshale wa Bulembo utajibiwa. Na kama ukijibiwa na Chakubanga basi utakuwa muda muafaka kuhoji kama Uzalendo unaruhusu rushwa. Rushwa ambayo itazunguzmwa ni ile ya Chakubanga kshiriki zoezi ovu la kununua wabunge na viongozi wa upinzani.

Kwa hiyo Ndugu Chakubanga ukiwa unaandaa bomu kuwalipua wahuni basi andaa majibu ya rushwa ulizowapa wapinzani
 
Kimenuka !
 
Back
Top Bottom