Tetesi: Wapinzani walionunuliwa na Polepole kuanza kuanikwa muda wowote

Tetesi: Wapinzani walionunuliwa na Polepole kuanza kuanikwa muda wowote

Kuna muda nasema Polepole ana point nzuri mno na ni kweli zinatakiwa kujibiwa na upande wa pili wa chama chake. CCM jibuni hoja za huyu mkongwe vinginevyo mtaonekana mnatumia mabavu na hamna nguvu ya HOJA.
 
Vita ya "wahuni" na Kiroboto bado inaendelea. Upande wa "wahuni" kwa sasa umevuta pumzi baada ya mshale uliorushwa na Bulembo.

Taarifa zinasema kwamba upande unasikilizia kama mshale wa Bulembo utajibiwa. Na kama ukijibiwa na Chakubanga basi utakuwa muda muafaka kuhoji kama Uzalendo unaruhusu rushwa. Rushwa ambayo itazunguzmwa ni ile ya Chakubanga kshiriki zoezi ovu la kununua wabunge na viongozi wa upinzani.

Kwa hiyo Ndugu Chakubanga ukiwa unaandaa bomu kuwalipua wahuni basi andaa majibu ya rushwa ulizowapa wapinzani
Polepole ameshajibu. Ununuzi wa wanasiasa ulifanywa na Magufuli kwa niaba ya CCM. Sasa kulizungunzia hilo hakutomuumiza Polepole bali CCM nzima. Let's not pretend kuwa hao akina Nape ni malaika flani. Hii ni vita ya wachawi, na hakuna upande ulio nafuu kwa Watanzania
 
Siyo rahisi kwani wengine ni viongozi ningumu kuwataja!
 
Upumbavu tu!

Kwa hiyo wakianikwa ndio chadema itainuka?
Gaidi atatoka jela?

Na kwanini wapinzni mjiuze?
Hivi ni gaidi au anatuhuma juu ya hiyo? Na ndio mana kesi ipo mahakamani?usiwe mpumbavu control mihemko yako
 
Kwa hiyo Ndugu Chakubanga ukiwa unaandaa bomu kuwalipua wahuni basi andaa majibu ya rushwa ulizowapa wapinzani
Tena ni vizuri tujue alipewa ngapi na Magufuli na yeye alinunua kwa bei gani na alipiga ngapi.

Mambo hazarani! Mambo hazarani!
dj2.gif

Its Party time!
 
Hii ni post ya hovyo kutokea kuliko zote Duniani.

Hivi utakuwa afisa masoko wa kampuni ushindwe kushawishi watu watumie huduma za kampuni yako au kujiunga na kampuni yako?

Nafasi ya katibu mwenezi kwenye chama ni sawa na afisa masoko kwenye makampuni ambao hutembea na watu wa promotion kuuza bidhaa za kampuni kwa bei ndogo au kutoa bure lengo ni kushawishi watu kujiunga na huduma za kampuni hiyo

Kuweza kushawishi wapinzani ni credit kubwa sana kwake kama afisa madoko wa chama na ndio maana asilimia kubwa wana vyeo vikubwa kama mawaziri maana yake alileta asserts na sii liability
 
Wahuni vs Viroboto
Hawa Wote Wanaivuruga Nchi Lakini Malipo Ni Hapa Hapa
Mzilankende Umeitwa Ukaitika Huku Nyuma
Maji Hayanyweki Kabisa, Yaani Shida
 
kiroboto nauye ,nahs atazdiwa pumzi ,maana sidhani Kama ataweza kujibu hoja za upande wa pili!! ngoja tuone
 
Vita ya "wahuni" na Kiroboto bado inaendelea. Upande wa "wahuni" kwa sasa umevuta pumzi baada ya mshale uliorushwa na Bulembo.

Taarifa zinasema kwamba upande unasikilizia kama mshale wa Bulembo utajibiwa. Na kama ukijibiwa na Chakubanga basi utakuwa muda muafaka kuhoji kama Uzalendo unaruhusu rushwa. Rushwa ambayo itazunguzmwa ni ile ya Chakubanga kshiriki zoezi ovu la kununua wabunge na viongozi wa upinzani.

Kwa hiyo Ndugu Chakubanga ukiwa unaandaa bomu kuwalipua wahuni basi andaa majibu ya rushwa ulizowapa wapinzani
Kama ni tetesi sawa.

Vinginevyo umeanza kuwa Muganga wa kienyeji.
 
Polepole ameshajibu. Ununuzi wa wanasiasa ulifanywa na Magufuli kwa niaba ya CCM. Sasa kulizungunzia hilo hakutomuumiza Polepole bali CCM nzima. Let's not pretend kuwa hao akina Nape ni malaika flani. Hii ni vita ya wachawi, na hakuna upande ulio nafuu kwa Watanzania
Polepole ndie aliyekuwa Dalali wa kuwaandaa wasanii kede kede ikiwemo kushika fuko la hela wakati wa uchaguzi atuambie ikiwemo Dalali wa kuwatongoza waunga juhudi.So hawezi jitenga na hili
 
Back
Top Bottom