Tetesi: Wapinzani walionunuliwa na Polepole kuanza kuanikwa muda wowote

Kiroboto madam alikuwa kwenye ule mfumo hawezi kuinua mdomo., ataumbuka tu
 
Polepole ndie aliyekuwa Dalali wa kuwaandaa wasanii kede kede ikiwemo kushika fuko la hela wakati wa uchaguzi atuambie ikiwemo Dalali wa kuwatongoza waunga juhudi.So hawezi jitenga na hili
Sasa kwa akili yako unadhami wahuni wanaweza kuchomo kibanda walichomo?
 
Chawa wa Magufuli kafurushwa jikoni anachonga sana,chama kimerudi kwa wenyewe
 
Mimi naanza na huyu.
 
Walinunuliwa na Polepole?! Au unamanisha CCM ndio ilikua inawanunua ? Kwani biashara ya utumwa bado ipo! Btw wahuni hawawezi kufika huko kwani kiroboto hakutoa pesa yake mfukoni. Itakua kukichafua chama na hao wapinzani wenyewe ambao hawawezi kukubali. Sisi tunajua walingua wanaunga juhudi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Acha kuishi juzi Dogo. Polepole ameishawajibu na hakuna mwenye uthubutu wa kujibu alichokisema.
 
Ingekuwa aliwanunua kwa kuwashawishi basi angekuwa aliifanya kazi yake vyema. Ila aliwalazimisha wajiuze na wote waliokataa walishughulikiwa
 
Upumbavu tu!

Kwa hiyo wakianikwa ndio chadema itainuka?
Gaidi atatoka jela?

Na kwanini wapinzni mjiuze?
Vijana wa BUKU 7 kushney Babu jiiii.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mama kagoma kutoa bajeti ya BUKU 7.
Mfanye kazi za jasho mpate hela.
Hataki siasa za kuchafuana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…