Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Wapumbavu hawataki kuongozwa wanataka kutawaliwaMkuu acha kuzunguka zunguka, samuya amekataliwa mchana kweupee na watz walio wengi... kwasasa yupo kwenye kiti kwa hisani ya mtutu wa bunduki tuu!.
Sema raisi bora kwa tumbo lako weweWapumbavu hawataki kuongozwa wanataka kutawaliwa
Kwenye kutawala mtutu lazima utumike jomba.
Mkileta nyau nyau mnapigwa .
Rais bora kabisa kwa ustawi wa Taifa nyie mnaleta fyokofyoko
Wewe ni mpumbavu. Ukiwa unajievaluate uwe unajiambia mimi ni mpumbavu. Hakuna maelezo yoyote yanayokuhusu zaidi ya wewe kuwa mpumbavuWapumbavu hawataki kuongozwa wanataka kutawaliwa
Kwenye kutawala mtutu lazima utumike jomba.
Mkileta nyau nyau mnapigwa .
Rais bora kabisa kwa ustawi wa Taifa nyie mnaleta fyokofyoko
Baada ya kumshindwa Samia mmerudi kwa MagufuliUnaposema mnyama fulani ana akili sana maana yake ni kwamba mnyama huyo ana uwezo wa kutunza kumbukumbu ipasavyo. Kinyume chake pia ni kweli.
Hii pia iko applicable kwa watu. Kama huna kumbukumbu basi wewe ni tahira.
Kuna watu si Matahira ila hujifanya matabira kwa makusudi.
Magufuli ndiye baba wa uharibifu wa Demokrasia Tanzania iliyojengwa kwa muda mwingi.
Hotuba zake za awali alifuta kabisa shuguli za kisiasa kwa vyama vyote ilhali yeye na team yake akiwemo Polepole walikuwa hawalali kujinadi wao na CCM kiujumla.
Wapinzani kila walipoinuka walikutana na buti la askari. Ilifika wakati mpaka vikao vya ndani CHADEMA wakinaliza tu nje kuna gari ya polisi yenye maelekezo kutoka juu watu wanapelekwa central.
2019 akaunajisi uchaguzi wote wa local government.
2020 wagombea udiwani na ubunge wa CCM wakajizolea vyeo baada ya wapinzani kuambiwa hawajui kuandika majina yao.
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 wapinzani hawakujipanga vizuri wenyewe, 2025 wakasusia uchaguzi mkuu wakiamini wazungu wana nguvu ya kuweza kuamua juu ya Tanzania kwamba uchaguzi ufanyike au usifanyike. Walipoona wazungu hawajawatetea waka organize uharibifu pamoja na taasisi za dini fulani. Watu wa dini walikuwa na vision yao while wapinzani walikuwa na nia ya kurudisha kisasi cha Magufuli kwa Samia.
Kwa ufupi wamefeli, watafeli na kufeli zaidi.
Mtanzania anapenda sana kuongea tatizo hayo anayoyasema anapoongea ni ujinga mtupu.Wapumbavu hawataki kuongozwa wanataka kutawaliwa
Kwenye kutawala mtutu lazima utumike jomba.
Mkileta nyau nyau mnapigwa .
Rais bora kabisa kwa ustawi wa Taifa nyie mnaleta fyokofyoko
Mnazeekea kwenye kelele hizi hizi.Wewe ni mpumbavu. Ukiwa unajievaluate uwe unajiambia mimi ni mpumbavu. Hakuna maelezo yoyote yanayokuhusu zaidi ya wewe kuwa mpumbavu
Na wewe shetani jingine Mungu anawazoom tu. Hamuwezi kuwa upande wa wauwaji na mkaendelea kutamba tu kana kwamba Mungu anahongekaMnazeekea kwenye kelele hizi hizi.
Mbona wewe hujauwawa?, mbona tarehe 9 na 25 Desemba hakufa hata mtu mmoja huko mitaani?.Na wewe shetani jingine Mungu anawazoom tu. Hamuwezi kuwa upande wa wauwaji na mkaendelea kutamba tu kana kwamba Mungu anahongeka
Unayemtea ndiye aliyemfunga Lissu pasipo na kosaWapumbavu hawataki kuongozwa wanataka kutawaliwa
Kwenye kutawala mtutu lazima utumike jomba.
Mkileta nyau nyau mnapigwa .
Rais bora kabisa kwa ustawi wa Taifa nyie mnaleta fyokofyoko
Wewe ni mpumbavu na kama sio mpumbavu basi ni mnufaika wa huu ufisadi wanaofanya akina abdul na mama ake. Sitaki hata kukuelezea sababu za watu kuitisha maandamano yaliyopelekea kuuawa kama mende kwa sababu sababu unaijua. So acha nimalizie kwa kukuambia tena wewe ni mpumbavuMbona wewe hujauwawa?, mbona tarehe 9 na 25 Desemba hakufa hata mtu mmoja huko mitaani?.
Heshimuni serikali, vijana wengi wameelewa kwamba taharuki haina faida yoyote maishani mwao zaidi ya kutaka kuwaletea umaskini.
Wale wale waliounga mkono maandamano yasiyo na ukomo wamefahamu kuwa maisha yao yanachezewa na mawakala wa vifo wanaoishi huko ughaibuni.
Hao kina Mange na Maria wanatumwa damu zao, hawana jema lolote kwao.
By the way upo tanzania hapa au nje ya nchi?Mbona wewe hujauwawa?, mbona tarehe 9 na 25 Desemba hakufa hata mtu mmoja huko mitaani?.
Heshimuni serikali, vijana wengi wameelewa kwamba taharuki haina faida yoyote maishani mwao zaidi ya kutaka kuwaletea umaskini.
Wale wale waliounga mkono maandamano yasiyo na ukomo wamefahamu kuwa maisha yao yanachezewa na mawakala wa vifo wanaoishi huko ughaibuni.
Hao kina Mange na Maria wanatumwa damu zao, hawana jema lolote kwao.
Nipo Dar.By the way upo tanzania hapa au nje ya nchi?
Hakuna tusi jipya chini ya jua, mapovu hayamsaidii yoyote anayesoma ulichoandika.Wewe ni mpumbavu na kama sio mpumbavu basi ni mnufaika wa huu ufisadi wanaofanya akina abdul na mama ake. Sitaki hata kukuelezea sababu za watu kuitisha maandamano yaliyopelekea kuuawa kama mende kwa sababu sababu unaijua. So acha nimalizie kwa kukuambia tena wewe ni mpumbavu
Sasa kwa nini na wewe huitii serikali yako? Kumbe unajua serikali yako haramu ina mambo ya kipumbavu ndio maana hauitii.Nipo Dar.
Naitii serikali siwezi kuwa muasi najua madhara yake.Sasa kwa nini na wewe huitii serikali yako? Kumbe unajua serikali yako haramu ina mambo ya kipumbavu ndio maana hauitii.