Wapinzani walitaka kumlipa Rais Samia malipo ya ubaya waliofanyiwa na Magufuli 2015- 2021

Wewe kidampa wa Samia , kwani aliyofanya Magufuli huyo Samia aliacha kuyafanya?
Samia hakuwa na nia mbaya na wapinzani na upinzani.
Ila wapinzani walipomwona yuko peace wakaona watumie fursa hiyo kumlipa malipo ya maovu waliyofanyiwa na Magufuli.
Sasa dawa ya wapumbavu wa namna hii ni nini kama si kuwanyoosha?
 
Kitendo cha Heche hakikuwa cha kiungwana, haswa baada ya mengi sana mema aliyowafanyia CHADEMA.

Kuhakikisha wanarudi nchini wanafutiwa kesi zao ili wajikite kwenye siasa za kujenga nchi. Kumbe wao vichwani wanayo mawazo ya kumletea dharau.

Walipomdharau SSH wakawa wameidharau nchi nzima ya TZ, wasingeweza kuachwa salama.
 
Samia hakuwa na nia mbaya na wapinzani na upinzani.
Kakudanganya nani?

Miezi mitatu [June 2021 ] tu mbele alijidhihirisha kwa kumfungulia Mbowe kesi ya ugaidi kwa sababu ya kudai katiba mpya .
Ila wapinzani walipomwona yuko peace wakaona watumie fursa hiyo kumlipa malipo ya maovu waliyofanyiwa na Magufuli.
Sasa dawa ya wapumbavu wa namna hii ni nini kama si kuwanyoosha?
Acha uongo Samia hajawahi kuwa "peace " kivuli cha umakamu ndio kilimfanya muone ni mpole.

Kama kweli angekua na hulka hiyo basi angechagua kutofanya aliyofanya mtangulizi wake.

Ukisiliza hapa majibu ya vitu anavyoulizwa na anavyojibu inatosha kukupa taswira ni mtu wa namna gani.

View: https://youtube.com/shorts/HPS2ojufQso?si=wxXER-a11vhWZssV
 
Naitii serikali siwezi kuwa muasi najua madhara yake.
Serikali yako harusi imeifungia Jamiiforums, haitaki JF itumike, lakini wewe unaizunguka serikali haramu kwa VPN na kuingia JF. Anyway kwanza napoteza muda tu kubishana na zombie kama wewe
 
Situmii VPN kuongea na mtu yoyote humu ndani. JF ilifungiwa miezi mitatu ikafunguliwa 9 desemba, nilianza kuingia baada ya kufunguliwa.
 
Back
Top Bottom