Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
- Thread starter
-
- #21
Samia hakuwa na nia mbaya na wapinzani na upinzani.Wewe kidampa wa Samia , kwani aliyofanya Magufuli huyo Samia aliacha kuyafanya?
Kitendo cha Heche hakikuwa cha kiungwana, haswa baada ya mengi sana mema aliyowafanyia CHADEMA.Samia hakuwa na nia mbaya na wapinzani na upinzani.
Ila wapinzani walipomwona yuko peace wakaona watumie fursa hiyo kumlipa malipo ya maovu waliyofanyiwa na Magufuli.
Sasa dawa ya wapumbavu wa namna hii ni nini kama si kuwanyoosha?
Kakudanganya nani?Samia hakuwa na nia mbaya na wapinzani na upinzani.
Acha uongo Samia hajawahi kuwa "peace " kivuli cha umakamu ndio kilimfanya muone ni mpole.Ila wapinzani walipomwona yuko peace wakaona watumie fursa hiyo kumlipa malipo ya maovu waliyofanyiwa na Magufuli.
Sasa dawa ya wapumbavu wa namna hii ni nini kama si kuwanyoosha?
Serikali yako harusi imeifungia Jamiiforums, haitaki JF itumike, lakini wewe unaizunguka serikali haramu kwa VPN na kuingia JF. Anyway kwanza napoteza muda tu kubishana na zombie kama weweNaitii serikali siwezi kuwa muasi najua madhara yake.
Situmii VPN kuongea na mtu yoyote humu ndani. JF ilifungiwa miezi mitatu ikafunguliwa 9 desemba, nilianza kuingia baada ya kufunguliwa.Serikali yako harusi imeifungia Jamiiforums, haitaki JF itumike, lakini wewe unaizunguka serikali haramu kwa VPN na kuingia JF. Anyway kwanza napoteza muda tu kubishana na zombie kama wewe