NO ELECTION,NO ELECTION,NO ELECTION,NO ELECTION,NO ELECTION WITHOUT REFORMSNdugu zangu Watanzania,
Hakuna kitu wapinzani kinawapa homa na kutetemeka miili yao utafikiri sumaku kama wakifikiria kukutana na Rais Samia katika sanduku la kura. Wanamuogopa Sana Rais Samia kutokana na kazi kubwa aliyoifanya ndani ya Muda mfupi wa uongozi wake iliyogusa Maisha ya watanzania wanyonge na kuleta nuru na mwanga kwa maisha ya watu.
Kama ingekuwa ni Timu au Club basi tungesema ni ile Barcelona ya Akina Lionnel Messi,Iniesta ,Xavi,Puyo ,Geradi Piq na wakali wengine. Timu ambayo ilikuwa tishio barani Ulaya ambayo ilimfanya Sir Alex Ferguson atetemeke kama mgonjwa wa Degedege alipokutana na Miamba na ma star hawa kutoka pale Uhispania. Au waweza kusema Rais Samia ni kama ile Manchester United ya Akina Chrisiano Ronaldo,Wayne Rooney ,Vidic , Ferdinand,Paul Scholes na wakali wengine walioipiga Chelsea kwa matuta Fainali ya UEFA baada ya John Teli Kukosa Penalti.
Au waweza kusema ile Real Madrid ya Cristiano Ronaldo,Galeth Bale ,Carim Benzema ,Casilas ,Ramos ,pepe ,Modrik na wakali wengine . Au waweza kusema ile Simba ya akina Emmanueli Okwi ,Sunzu ,Mafisango . Au Ile yanga Yanga ya akina Mrisho Ngasa Iliyompiga Simba Goli Tatu Bila Kipindi cha kwanza pale Taifa halafu Simba chini ya Kocha Kibadeni ikarudisha Goli zote Tatu kipindi cha Pili. Au Ile yanga iliyomtandika Simba Bila Huruma Goli Tano kwa Moja .
Sasa Unafikiria wapinzani watakuwa na hoja gani katika majukwaa ya kisiasa kuwashawishi watanzania kuwapigia kura? Unafikiria wapinzani ni wajinga kiasi hicho mpaka washindwe kuelewa kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia?
Ikumbukwe ya kuwa wapinzani wanaelewa ni Rais Samia ndiye amewapa uhuru wa kufanya siasa baada ya kuondoa zuio lililokuwepo awali,wanatambua ni Rais Samia ndiye ameimarisha na kutoa uhuru wa kujieleza.
Sasa wataomba vipi kura kwa wakulima wakati wanajua Rais Samia amefanya kazi kubwa tukuka kwa kuongeza bajeti ya kilimo kufikia Trilioni 1.2? Wataomba vipi kura kwa vijana wa vyuo vikuu wakati wanajua ni Rais Samia aliyetoa na kumwaga maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana .mfano ajira kwa kada ya ualimu tu ametoa zaidi ya ajira Elfu 89. Hapo hapo ameongeza pesa ya kujikimu kufikia Elfu kumi kwa siku.
Wataomba vipi kura kwa watumishi wa umma wakati wanafahamu ni Rais Samia ameongeza kimo cha chini kufikia Laki 5,kulipa malimbikizo ya madeni yao,kuwapandisha madaraja na kuwalipa stahili zao zote,kuwapa nyongeza ya mshahara ya kila mwaka na mengine mengi sana ikiwepo maposho na marupurupu ambayo yameongeza morali ya kazi kwa watumishi wa umma.
Wataomba na kuwashawishi vipi wafanyabiashara wakati wanajua Rais Samia ameondoa vikwazo vya kibiashara ,kupiga marufuku na kuondoa manyanyaso kwa wafanyabiashara kama vile makadilio yakodi yasiyoendana na uhalisia ,kufungiwa biashara au maduka ,kufungiwa akaunti za benki na kero zingine mbalimbali ambazo Rais Samia ametatua.
Ni ngumu sana wapinzani kupanda majukwaani kuwashawishi watanzania kuwapatia kura na kumnyima Rais Samia ,kwa kuwa wanajua wazi kuwa Rais Samia kuweka mkono wake kila eneo. Ndio sababu leo tunaona hata Kiwango cha umaskini kikipungua Nchini,kuongezeka kwa watalii hadi kupelekea kupatikana kwa zaidi ya Trilioni 10 ,kuongezeka kwa mapato kufikia Trilioni 121 Kiwango cha rekodi katika historia ya Taifa letu.
Ujenzi na usogezaji wa huduma za kijamii karibu kabisa na wananchi. Uboreshaji na ujenzi wa miundombinu ya barabara na mengineyo mengi sana.
Ndio sababu wapinzani Wanaogopa sana na inawakatisha tamaa ya kufanya kampeni au kuandaa mgombea wa Uraisi wa kuweza kushindana na Rais Samia. Kwa sababu wanajua Rais Samia ameweka na kuacha alama kila eneo na kila sehemu. Ndio sababu kila mtanzania anasema ya kuwa Oktoba tunakwenda kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM.View attachment 3414902
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mchakato wa kupata mgombea ndani ya CCM urudiwe;- H. Polepole.Ndugu zangu Watanzania,

Hizi Akili za data ni kabla hujadata,ngoja uletwe Mirembe!Ndugu zangu Watanzania,

Tungepata Dhambi ya kuua,Wacha twende nae,wahenga walisema,Msafara wa mamba na Kenge wapo!Lukas Hebel Mwashambwa ni LIKENGE.Kuna furaha ndugu na jamaa tuipatayo baada ya ndugu yetu ajifunguapo salama,kile kichanga kinapendwa na kila mtu kwa wakati huo.
Laiti kama tungekuwa tunajua hicho kichanga kikikua, maisha na tabia yake itakuwa ni ya kudhalilisha ukoo...
Haki ya Mungu hicho kichanga kinge....
Kusoma nyuzi zako inatia hasira sana. Wakina Nyerere wenye CCM yao, wangekua na akili kama zako, bas hadi leo tungekuwa chini ya ukoloni.Ndugu zangu Watanzania,
Hakuna kitu wapinzani kinawapa homa na kutetemeka miili yao utafikiri sumaku kama wakifikiria kukutana na Rais Samia katika sanduku la kura. Wanamuogopa Sana Rais Samia kutokana na kazi kubwa aliyoifanya ndani ya Muda mfupi wa uongozi wake iliyogusa Maisha ya watanzania wanyonge na kuleta nuru na mwanga kwa maisha ya watu.
Kama ingekuwa ni Timu au Club basi tungesema ni ile Barcelona ya Akina Lionnel Messi,Iniesta ,Xavi,Puyo ,Geradi Piq na wakali wengine. Timu ambayo ilikuwa tishio barani Ulaya ambayo ilimfanya Sir Alex Ferguson atetemeke kama mgonjwa wa Degedege alipokutana na Miamba na ma star hawa kutoka pale Uhispania. Au waweza kusema Rais Samia ni kama ile Manchester United ya Akina Chrisiano Ronaldo,Wayne Rooney ,Vidic , Ferdinand,Paul Scholes na wakali wengine walioipiga Chelsea kwa matuta Fainali ya UEFA baada ya John Teli Kukosa Penalti.
Au waweza kusema ile Real Madrid ya Cristiano Ronaldo,Galeth Bale ,Carim Benzema ,Casilas ,Ramos ,pepe ,Modrik na wakali wengine . Au waweza kusema ile Simba ya akina Emmanueli Okwi ,Sunzu ,Mafisango . Au Ile yanga Yanga ya akina Mrisho Ngasa Iliyompiga Simba Goli Tatu Bila Kipindi cha kwanza pale Taifa halafu Simba chini ya Kocha Kibadeni ikarudisha Goli zote Tatu kipindi cha Pili. Au Ile yanga iliyomtandika Simba Bila Huruma Goli Tano kwa Moja .
Sasa Unafikiria wapinzani watakuwa na hoja gani katika majukwaa ya kisiasa kuwashawishi watanzania kuwapigia kura? Unafikiria wapinzani ni wajinga kiasi hicho mpaka washindwe kuelewa kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia?
Ikumbukwe ya kuwa wapinzani wanaelewa ni Rais Samia ndiye amewapa uhuru wa kufanya siasa baada ya kuondoa zuio lililokuwepo awali,wanatambua ni Rais Samia ndiye ameimarisha na kutoa uhuru wa kujieleza.
Sasa wataomba vipi kura kwa wakulima wakati wanajua Rais Samia amefanya kazi kubwa tukuka kwa kuongeza bajeti ya kilimo kufikia Trilioni 1.2? Wataomba vipi kura kwa vijana wa vyuo vikuu wakati wanajua ni Rais Samia aliyetoa na kumwaga maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana .mfano ajira kwa kada ya ualimu tu ametoa zaidi ya ajira Elfu 89. Hapo hapo ameongeza pesa ya kujikimu kufikia Elfu kumi kwa siku.
Wataomba vipi kura kwa watumishi wa umma wakati wanafahamu ni Rais Samia ameongeza kimo cha chini kufikia Laki 5,kulipa malimbikizo ya madeni yao,kuwapandisha madaraja na kuwalipa stahili zao zote,kuwapa nyongeza ya mshahara ya kila mwaka na mengine mengi sana ikiwepo maposho na marupurupu ambayo yameongeza morali ya kazi kwa watumishi wa umma.
Wataomba na kuwashawishi vipi wafanyabiashara wakati wanajua Rais Samia ameondoa vikwazo vya kibiashara ,kupiga marufuku na kuondoa manyanyaso kwa wafanyabiashara kama vile makadilio yakodi yasiyoendana na uhalisia ,kufungiwa biashara au maduka ,kufungiwa akaunti za benki na kero zingine mbalimbali ambazo Rais Samia ametatua.
Ni ngumu sana wapinzani kupanda majukwaani kuwashawishi watanzania kuwapatia kura na kumnyima Rais Samia ,kwa kuwa wanajua wazi kuwa Rais Samia kuweka mkono wake kila eneo. Ndio sababu leo tunaona hata Kiwango cha umaskini kikipungua Nchini,kuongezeka kwa watalii hadi kupelekea kupatikana kwa zaidi ya Trilioni 10 ,kuongezeka kwa mapato kufikia Trilioni 121 Kiwango cha rekodi katika historia ya Taifa letu.
Ujenzi na usogezaji wa huduma za kijamii karibu kabisa na wananchi. Uboreshaji na ujenzi wa miundombinu ya barabara na mengineyo mengi sana.
Ndio sababu wapinzani Wanaogopa sana na inawakatisha tamaa ya kufanya kampeni au kuandaa mgombea wa Uraisi wa kuweza kushindana na Rais Samia. Kwa sababu wanajua Rais Samia ameweka na kuacha alama kila eneo na kila sehemu. Ndio sababu kila mtanzania anasema ya kuwa Oktoba tunakwenda kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM.View attachment 3414902
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
You once again and your smelling ass,kwanini unakuwa mkuda hivyo,swali kwako,why platform haiko fare btn main party and opposition.Ndugu zangu Watanzania,

Tunatiki October kwa MamaNdugu zangu Watanzania,

NyumbuYou once again and your smelling ass,kwanini unakuwa mkuda hivyo,swali kwako,why platform haiko fare btn main party and opposition.
Huu ndio ukweliCHADEMA wameshapoteana kama vifaranga vya kuku.
Huyu jamaa ukimkadiria unaweza kusema ni mshamba fulani anayetokea kijijini,halafu huko bush wanamuona bonge la mjanja,sasa ujanja wake wa kijijini anataka kuuleta mjini
Ukienda kwa hao walioleta malt party they knew logical will not be same,that parliament is a loan saccos in TzNyumbu
Mwambie sasa aweke tume huru ya uchaguzi halafu ndio tukutane kwenye uchaguzi tuone nani bingwa, uyo aukubaliki ata ndani ya chama chake tu ndio maana kanuni ilivunjwa.Ndugu zangu Watanzania,
Hakuna kitu wapinzani kinawapa homa na kutetemeka miili yao utafikiri sumaku kama wakifikiria kukutana na Rais Samia katika sanduku la kura. Wanamuogopa Sana Rais Samia kutokana na kazi kubwa aliyoifanya ndani ya Muda mfupi wa uongozi wake iliyogusa Maisha ya watanzania wanyonge na kuleta nuru na mwanga kwa maisha ya watu.
Kama ingekuwa ni Timu au Club basi tungesema ni ile Barcelona ya Akina Lionnel Messi,Iniesta ,Xavi,Puyo ,Geradi Piq na wakali wengine. Timu ambayo ilikuwa tishio barani Ulaya ambayo ilimfanya Sir Alex Ferguson atetemeke kama mgonjwa wa Degedege alipokutana na Miamba na ma star hawa kutoka pale Uhispania. Au waweza kusema Rais Samia ni kama ile Manchester United ya Akina Chrisiano Ronaldo,Wayne Rooney ,Vidic , Ferdinand,Paul Scholes na wakali wengine walioipiga Chelsea kwa matuta Fainali ya UEFA baada ya John Teli Kukosa Penalti.
Au waweza kusema ile Real Madrid ya Cristiano Ronaldo,Galeth Bale ,Carim Benzema ,Casilas ,Ramos ,pepe ,Modrik na wakali wengine . Au waweza kusema ile Simba ya akina Emmanueli Okwi ,Sunzu ,Mafisango . Au Ile yanga Yanga ya akina Mrisho Ngasa Iliyompiga Simba Goli Tatu Bila Kipindi cha kwanza pale Taifa halafu Simba chini ya Kocha Kibadeni ikarudisha Goli zote Tatu kipindi cha Pili. Au Ile yanga iliyomtandika Simba Bila Huruma Goli Tano kwa Moja .
Sasa Unafikiria wapinzani watakuwa na hoja gani katika majukwaa ya kisiasa kuwashawishi watanzania kuwapigia kura? Unafikiria wapinzani ni wajinga kiasi hicho mpaka washindwe kuelewa kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia?
Ikumbukwe ya kuwa wapinzani wanaelewa ni Rais Samia ndiye amewapa uhuru wa kufanya siasa baada ya kuondoa zuio lililokuwepo awali,wanatambua ni Rais Samia ndiye ameimarisha na kutoa uhuru wa kujieleza.
Sasa wataomba vipi kura kwa wakulima wakati wanajua Rais Samia amefanya kazi kubwa tukuka kwa kuongeza bajeti ya kilimo kufikia Trilioni 1.2? Wataomba vipi kura kwa vijana wa vyuo vikuu wakati wanajua ni Rais Samia aliyetoa na kumwaga maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana .mfano ajira kwa kada ya ualimu tu ametoa zaidi ya ajira Elfu 89. Hapo hapo ameongeza pesa ya kujikimu kufikia Elfu kumi kwa siku.
Wataomba vipi kura kwa watumishi wa umma wakati wanafahamu ni Rais Samia ameongeza kimo cha chini kufikia Laki 5,kulipa malimbikizo ya madeni yao,kuwapandisha madaraja na kuwalipa stahili zao zote,kuwapa nyongeza ya mshahara ya kila mwaka na mengine mengi sana ikiwepo maposho na marupurupu ambayo yameongeza morali ya kazi kwa watumishi wa umma.
Wataomba na kuwashawishi vipi wafanyabiashara wakati wanajua Rais Samia ameondoa vikwazo vya kibiashara ,kupiga marufuku na kuondoa manyanyaso kwa wafanyabiashara kama vile makadilio yakodi yasiyoendana na uhalisia ,kufungiwa biashara au maduka ,kufungiwa akaunti za benki na kero zingine mbalimbali ambazo Rais Samia ametatua.
Ni ngumu sana wapinzani kupanda majukwaani kuwashawishi watanzania kuwapatia kura na kumnyima Rais Samia ,kwa kuwa wanajua wazi kuwa Rais Samia kuweka mkono wake kila eneo. Ndio sababu leo tunaona hata Kiwango cha umaskini kikipungua Nchini,kuongezeka kwa watalii hadi kupelekea kupatikana kwa zaidi ya Trilioni 10 ,kuongezeka kwa mapato kufikia Trilioni 121 Kiwango cha rekodi katika historia ya Taifa letu.
Ujenzi na usogezaji wa huduma za kijamii karibu kabisa na wananchi. Uboreshaji na ujenzi wa miundombinu ya barabara na mengineyo mengi sana.
Ndio sababu wapinzani Wanaogopa sana na inawakatisha tamaa ya kufanya kampeni au kuandaa mgombea wa Uraisi wa kuweza kushindana na Rais Samia. Kwa sababu wanajua Rais Samia ameweka na kuacha alama kila eneo na kila sehemu. Ndio sababu kila mtanzania anasema ya kuwa Oktoba tunakwenda kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM.View attachment 3414902
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kajivika umalikia mwenyewe bibi asie na aibuMwambie sasa aweke tume huru ya uchaguzi halafu ndio tukutane kwenye uchaguzi tuone nani bingwa, uyo aukubaliki ata ndani ya chama chake tu ndio maana kanuni ilivunjwa.
Kwa heshima kubwa naomba nikwambie PUMBAVUNdugu zangu Watanzania,