Wapinzani wanasubiri Polepole aongee ndo wapate chakuongea, kwasasa wapinzani hawana chakuongea jamii imewapuuza

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Wapinzani wa Tanzania bila polepole kuongea hawana hoja, zamani walikuwa wanamfatilia Mange kimambi Sasa naona wameona hoja zake ni zakitapeli, Mpina sijui wameishia wapi 🤣

CCM inaingia kwenye uchaguzi ikiwa imemaliza kero zote za Watanzania, mfano
Watumishi wa umma wameongezwa mishahara, Wakulima mbolea za ruzuku

Wafanyabiasha wamepewa mazingira mazuri ya biashara, Wanachuo boom elfu 10
Mikopo Hadi kwa wanachuo wa dip.

Naelekea Mlimani city gala

Kukichangia CHAMA CHANGU CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI āœ…
 
Wapinzani hawajui siasa wanawasikiliza mange kimambi ndo injin yao
Wapinzani wa Tanzania bila polepole kuongea hawana hoja, zamani walikuwa wanamfatilia Mange kimambi Sasa naona wameona hoja zake ni zakitapeli, Mpina sijui wameishia wapi 🤣

CCM inaingia kwenye uchaguzi ikiwa imemaliza kero zote za Watanzania, mfano
Watumishi wa umma wameongezwa mishahara, Wakulima mbolea za ruzuku

Wafanyabiasha wamepewa mazingira mazuri ya biashara, Wanachuo boom elfu 10
Mikopo Hadi kwa wanachuo wa dip.

Naelekea Mlimani city gala

Kukichangia CHAMA CHANGU CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI āœ…

Unaongea kwa hofu Sana unaogopa nini?
 
Sisi team mpina kauli mbiu yetu" TUTAJUANA TU HUKOHUKO" FULL STOP

kwishaaaaaaa
 
Wapinzani wa Tanzania bila polepole kuongea hawana hoja, zamani walikuwa wanamfatilia Mange kimambi Sasa naona wameona hoja zake ni zakitapeli, Mpina sijui wameishia wapi 🤣

CCM inaingia kwenye uchaguzi ikiwa imemaliza kero zote za Watanzania, mfano
Watumishi wa umma wameongezwa mishahara, Wakulima mbolea za ruzuku

Wafanyabiasha wamepewa mazingira mazuri ya biashara, Wanachuo boom elfu 10
Mikopo Hadi kwa wanachuo wa dip.

Naelekea Mlimani city gala

Kukichangia CHAMA CHANGU CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI āœ…
Chadema wanasubiri kwa hamu
 
Mama ni vichambo! Baba wa kambo naye ni vichambo tu! Watoto nao wameambukizwa vichambo! Yaani ni tabu tupu.
 
Bado unaamini CHADEMA, Mpina, Polepole ndio wapinzani wa CCM? Rais wako anakejeliwa na Wakenya na wananchi hakuna hata mmoja anayejitokeza kuwakemea na bado unaamini CHADEMA ndio wapinzani?
 
Bado unaamini CHADEMA ndio wapinzani wa CCM? Rais wako anakejeliwa na Wakenya na wananchi hakuna hata mmoja anayejitokeza kuwakemea na bado unaamini CHADEMA ndio wapinzani?
Chadema ndo nn
 
Wapinzani wa Tanzania bila polepole kuongea hawana hoja, zamani walikuwa wanamfatilia Mange kimambi Sasa naona wameona hoja zake ni zakitapeli, Mpina sijui wameishia wapi 🤣

CCM inaingia kwenye uchaguzi ikiwa imemaliza kero zote za Watanzania, mfano
Watumishi wa umma wameongezwa mishahara, Wakulima mbolea za ruzuku

Wafanyabiasha wamepewa mazingira mazuri ya biashara, Wanachuo boom elfu 10
Mikopo Hadi kwa wanachuo wa dip.

Naelekea Mlimani city gala

Kukichangia CHAMA CHANGU CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI āœ…
Sasa mmezua watu wasiongee,mnalalamika tena kwa nini hawaongei
 
Back
Top Bottom