Wapinzani wanasubiri Polepole aongee ndo wapate chakuongea, kwasasa wapinzani hawana chakuongea jamii imewapuuza

Wapinzani wa Tanzania bila polepole kuongea hawana hoja, zamani walikuwa wanamfatilia Mange kimambi Sasa naona wameona hoja zake ni zakitapeli, Mpina sijui wameishia wapi 🤣

CCM inaingia kwenye uchaguzi ikiwa imemaliza kero zote za Watanzania, mfano
Watumishi wa umma wameongezwa mishahara, Wakulima mbolea za ruzuku

Wafanyabiasha wamepewa mazingira mazuri ya biashara, Wanachuo boom elfu 10
Mikopo Hadi kwa wanachuo wa dip.

Naelekea Mlimani city gala

Kukichangia CHAMA CHANGU CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI ✅
Wapinzani unaowamaanisha ni pamoja na Chaumma na ACT?
 
Kwamba akina Mpina na Mwalimu hawana la kusema.
 
Wapinzani wenu ni chauma, cuf na Act
 
Back
Top Bottom