Wapinzani hawajui siasa wanawasikiliza mange kimambi ndo injin yao
Wapinzani hawajui siasa wanawasikiliza mange kimambi ndo injin yao
Wapinzani wa Tanzania bila polepole kuongea hawana hoja, zamani walikuwa wanamfatilia Mange kimambi Sasa naona wameona hoja zake ni zakitapeli, Mpina sijui wameishia wapi 🤣
CCM inaingia kwenye uchaguzi ikiwa imemaliza kero zote za Watanzania, mfano
Watumishi wa umma wameongezwa mishahara, Wakulima mbolea za ruzuku
Wafanyabiasha wamepewa mazingira mazuri ya biashara, Wanachuo boom elfu 10
Mikopo Hadi kwa wanachuo wa dip.
Naelekea Mlimani city gala
Kukichangia CHAMA CHANGU CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI ✅
Uku umezuia wasifanye shughuli za kisiasa. Kasoro vile vyama kazi maalumWapinzani hawajui siasa wanawasikiliza mange kimambi ndo injin yao
Chadema wanasubiri kwa hamuWapinzani wa Tanzania bila polepole kuongea hawana hoja, zamani walikuwa wanamfatilia Mange kimambi Sasa naona wameona hoja zake ni zakitapeli, Mpina sijui wameishia wapi 🤣
CCM inaingia kwenye uchaguzi ikiwa imemaliza kero zote za Watanzania, mfano
Watumishi wa umma wameongezwa mishahara, Wakulima mbolea za ruzuku
Wafanyabiasha wamepewa mazingira mazuri ya biashara, Wanachuo boom elfu 10
Mikopo Hadi kwa wanachuo wa dip.
Naelekea Mlimani city gala
Kukichangia CHAMA CHANGU CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI ✅
Ni chadema siyo 🤣
Labda ww ndo unaogopa
Chadema wanasubiri kwa hamu
Chadema ndo nn
Bado hukumuCHADEMA inawasumbua mioyo Sana. Mmeifungia kufanya siasa, mmeizuia ruzuku mmefungua mwenyekiti wake ila bado mnaitaja Sana.
Sasa mmezua watu wasiongee,mnalalamika tena kwa nini hawaongeiWapinzani wa Tanzania bila polepole kuongea hawana hoja, zamani walikuwa wanamfatilia Mange kimambi Sasa naona wameona hoja zake ni zakitapeli, Mpina sijui wameishia wapi 🤣