Wapinzani wanasubiri Polepole aongee ndo wapate chakuongea, kwasasa wapinzani hawana chakuongea jamii imewapuuza

Wapinzani unaowamaanisha ni pamoja na Chaumma na ACT?
 
Kwamba akina Mpina na Mwalimu hawana la kusema.
 
Wapinzani wenu ni chauma, cuf na Act
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…