Waungane naye wakati yeye alisema wanamchelewesha? Aliwaumiza Kwa njiabtofauti mpaka wakaondoka nchini baadhi Yao.Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Kwanza alitaka kuziondosha nguvu za hao wasioitaka hiyo Katiba mpya ambao ndiyo wenye nguvu zote za Uchumi na za Ushawishi ! Na ndio walioizuia wakati ule na wataizuwia wakati wowote mwingine maana inawalinda na kuwaneemesha !!Mbona ni yeye ndie alisema katiba si kipaumbele changu? Na akazima kabisa matarajio ya mwendelezo wa pale ilipoishia?
Acha ujinga weweAcheni unafiki. Leo mnasema jiwe aliwahitaji wapinzani. Si ni huyo jiwe wenu alisema wapinzani wamechelewesha maendeleo Tanzania?. Acha unafiki wewe chawa wa magu
HakikaMagufuli awezi kuungana na wapumbavu tu ndiyo maana hata wapumbavu walio chama chake walimchukia ...wewe unadhani samia alimchukia Jpm kwa sababu gani ....? Sikuzote viongozi uchaguana wenye akili uwachagua wenye akili kuongoza nao na kushaurian na viongozi wapumbavu uchaguana wapumbavu kuongoza na kushauriana ...mfano mshauri wa rais wako kwa sasa ni Mwigulu chema ya mafii na bwana lukas msambwanda unategemea nini...
Ulikuwepo Tanzania wakati yule mwovu akiwa Rais au ulisimuliwa tu? Yule mshenzi alitumia mabilioni ya kodi zetu kuua upinzani halafu wewe unabana pua kuandika ujinga hapa.Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Nchi nyingi duniani bado zinatumia umeme wa maji mpumbavu mmoja anakuja kuwadanganya watanzania kirahisi tuMradi wa umeme ulipingwa na wataalamu ww mazingira tena kwa riport rasmi ya kitaalamu, wakati huo January Makamba akiwa waziri. Mimi ni mmojawapo wa aliyepinga mradi wa umeme wa hilo bwawa, tena nikiwa na sababu za msingi. Kabla ya 2015 tuliimbishwa kama watoto wadogo kuhusu umeme wa gas na bomba limefika hapa Dar, kumbuka tulikopa 2T kwa ajili ya mradi wa umeme wa gas. Na matatizo ya wakati ule kuhusu umeme wa maji ilikuwa ni mabadiliko ya tabia nchi. Wakati tukilishwa haya, Magufuli alikuwa kimya huko kwenye chama chake akilinda cheo.
Hadithi za umeme wa gas ilikuwa ni kupata 5,000m mpaka yeye anaingia madarakani kulikuwa 500m tayari za umeme wa gas, huku umeme wa Magufuli ikiwa 2,115m kwa 7t. Sasa kwa akili ya kawaida kwanini, tungeweka 3T tusingeweza kupata hizo 2,115m za kwenye umeme wa maji, tukaacha mazingira salama, na hizo 4T nyingine tuwekeze kwenye kilimo ama viwanda? Sasa nikuulize ww unayedhani kila mtu aliibeba hoja ile kwa mtazamo wa kipropaganda.
Ukitoa ufafanuzi wa hayo mawili, nitahamia kwenye hayo mengine uliyorukia kichwakichwa bila kujiuliza.
- Je kuna mabadiliko ya tabia nchi ama hakuna?
- Ni kwanini tuliwekeza 7T kwenye umeme wa maji ambao tuliambiwa tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi, tukaacha kuwekeza hela chini ya 7T kupata umeme zaidi ya 2,115m?
Mfuate aliko ukaungane naye,akili za kisoda yule hakufaa kuongoza Taifa Hata wiki moja tu,he was just populistungezungumza
Pkupinga
Mbona kupitia kwa comrade Polepole aliwanunua wengi tu kwa fedha za walìpa kodi na wakaunga juhudi?Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya,
Kuna namna wangefanya kituhivi hata ungekuwa wewe, unaunganaje na serikali yenye watu wasio na ubongo kama mabashite, masabaya, mamnyeti, maalihapi na mengine? unaunganaje na serikali ya one man show? watu wanapigwa risasi mchana eneo la nyumba za wabunge, watu wanapotea, uonevu wa wazi wazi....ungeunganaje? mimi wala siwalaumu.
Hakuna nchi iliyowahi kusonga mbele kwa upinzani imara wa kilazaUmeandika upumbavu mtupu. Watu wote wakiwa na mawazo sawa si itakuwa nchi ya majuha watupu? Nchi itasonga mbele kwa kushauriana na kukosoana inabobidi na sio kukubali kila kitu. Udikteta sio suluhisho la matatizo ya nchi. JPM alijichanganya sana kudhani udikteta ndo utatupeleka mbele. Uongozi wake ulikuwa wa kikatili mno.
Kina Zuchu , Harmonize na kina Diamond?Hatma ya Tanganyika haipo kwa vyama vya siasa bali kwa Watanganyika wenyewe. Siku tukiamua hata hii CCM haitokuwepo achilia mbali UPINZANI.
Ufafanuzi mzuri kabisa ! 🙏👍Mbona mleta mada kaiweka kirahisi sana lakini ajabu imekua ngumu kueleweka.
Amesema “Laiti Kama wangemuunga mkono…”
Means the route that Marehemu was taking ni ile ile upinzani walikua lakini ajabu wakamkataa, but if wangemkubali basi ingekua rahisi zaidi Kwa upinzani kuiteka CCM from within maana nafasi aliwapa na aliendelea kuwapa.
Generation nyingine !Kina Zuchu , Harmonize na kina Diamond?
Ulisoma mpaka la ngapi? I mean una elimu gani?Tundu lisu ndiye anabeba lawama zote za kwa nini wapinzani hawakumuunga mkono Magufuli. Yeye ndiye alianzisha wazo la "pingapinga" (kupinga kila kitu) kwa madai ya kwamba Magufuli alianza kutekeleza sera za wapinzani kwa hiyo wao wangekosa cha kuwaambia wananchi. Viongozi wasio naume maono ndivyo walivyo.
Ni kweli, laiti wapinzani wangemuunga mkono shujaa wetu, sasa hivi tungekuwa na Tanzania tofauti na ilivyo sasa. Hata ccm lazima ingebadilika. Sasa kwa kuwa watu tuliamua kumsikiliza lisu, basi ngoja tuendelee kuhenyeshwa.