Wasaliti ndio walisulubiwaUnafiki wao upo wapi?. Nyie ndio wanafiki wakati wapinzani wanasirubiwa na Magufuli mlikuwa mnawacheka. Leo mnajifanya kuleta ngonjera za kijinga.
Sukuma gang on the moveKabisa!..
Kuiokoa Tanzania inabidi kizazi cha kina Nape, Samia, JK, Makamba, Kinana, Membe, Makala, Nchimbi na makundi mengine yote yanauotafuna nchi yaliyojichimbia ndani ya ccm yapotezwe waje watu laini na wapya kama kina Bashiru ndio tuanze kutafuta katiba.
Kazi hiyo Magufuli alikuwa anaiwezea ila matahira ya chadema yakaungana na watesi kutoka ccm yakaanza kumwandama Magu.
Kwanini unanilisha maneno?! Wapi nimesema hivyo?Mambo gani hayo?
Halafu, ni Magufuli ndiye mwanasiasa pekee aliyekuwa na integrity na credibility nchini? Ndio mahaba yenyewe hayo uliyo nayo kwa mwendazake! Au utadai pia kuwa Magufuli hakuwa mwanasiasa.
Unachamba ama unatoa hoja?Acheni uongo. Magufuli katangza wazi upinzani umechelewesha maendeleo Tanzania, akapiga marufuku mikutano ya upinzani. Na hata mikutano ya ndani ya upinzani akapiga marufuku. Jamaa alikuwa mjinga Sana. Akafanya nchi Mali yake na CCM. Mwisho akafa akawaacha upinzani wanadunda.
Sema wewe mpumbavu na fisadi ukapona siyo nchi ...hata jambazi ushukuru police kufa unajua kwa nini?Na
Mimi nashukuru kwa Mungu kuingilia kati na kumfyekelea mbali na nchi ikapona.
Lissu ana akili gani ? Kama anazo akili mwite hapa nimuulize maswali mbele yenu ndipo mtakapo mdharau na kumjua kuwa,ni mpumbavu tu kama mama yakoAcha kumlinganisha Lissu na vitu vya kijinga. Magufuli na Samiah wote ni mashetani. Hawana la maana.
👍🤣🤣🤣Sawa
Alitaka aungwe mkono na wapinzani wote hasa Viongozi maana ndio wenye ushawishi kwa wanachama wao na mashabiki wao !Kikwete alipata Asilimia 80 za kura ila hakuunhwa mkono, ije kuwa Magufuli aliyepata kura Asilimia 57
Uipate Tanzania mpya kwa kuungana na mdude?
Sasa Nani anabishana kuhusu idadi ya kura alizopata ama uhalali wa uRais wake?Huyo Magufuli alipata kura za urais Asilimia 57% Tena Kwa mbeleko ya Tume. Ulitaka wapinzani wamuunge mkono wakati uchaguzi haikuwa fair. Mawakala wa Ukawa walivamiwa Kambi yao ila wa CCM wakaachiwa. Maalim Seif akafutiwa ushindi wake kwa sababu za kijinga. Halafu unataka wapinzani wamchekee mtu Kama huyo. Nawapongeza wapinzani kuondoka na kumuachia bunge lake na CCM yake.
Unapoint usipuuzwe. Ukweli ni kuwa upinzani wa nchi hii haujui unachokisimamia hivyo ni vigumu kuwaelewa na nirahisi pia kutumika na baadhi ya wanaccm kwa maslahi yao binafsi na kuacha agenda zao bila kujua wanawavuruga wananchi. Before 2015 agenda yao kubwa na iliyowatambulisha ilikuwa ufisadi, leo hii hawazungumzii tena kana kwamba ufisadi umeisha, wanaona aibu sababu walimpinga JPM kwenye hilo. JPM alitaka tenngeneza mfumo imara wakiutawala utakaochukua raia yeyote mzalendo na mwenye mchango kwa taida bila kujali chama ila wapinzani wao walijikita kujenga chama badala ya nchi.
Upinzani jina au ?
Wasaliti ndio walisulubiwa
Unachamba ama unatoa hoja?
Nchi nzima watu walifanya sherehe wengine mpaka wakachinja mifugo yao kuonyesha jinsi gani walifurahi. Wewe kila mtu unamuona fisadi mara vyeti fake na ujinga ujinga mwingine. Mtakufa masikini wakati mwenzenu alikuwa anapiga pesaSema wewe mpumbavu na fisadi ukapona siyo nchi ...hata jambazi ushukuru police kufa unajua kwa nini?
Lissu ana qkili gani ? Kama anazo akili mwite hapa nimuulize maswali mbele yenu ndipo mtakapo mdharau na kumjua kuwa,ni mpumbavu tu kama mama yako
Alitaka aungwe mkono na wapinzani wote hasa Viongozi maana ndio wenye ushawishi kwa wanachama wao na mashabiki wao !
UPINZANI WA TANZANIA NI UPINZANI NJAA